CCM waanza kuvuruga uchaguzi kwenye uandikishaji wapiga kura ni agizo la Dr Bashiru kuwatumia wenyeviti wa mitaa kuhoji wananchi kama ni ccm ndio waan

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868

Mwenyekiti wa MTAA "anaswa"akihoji Watu km ni WANA CCM wakati wa kujiandikisha kwenye Daftari la WAPIGA KURA.

Baada ya kubanwa sana hatimae kasema WALIPELEKWA SEMINA na hayo ni maagizo ya KATIBU MKUU WA CCM BASHIRU ALLY.

VIONGOZI wa Dini amkeni "kemeeni" Dhambi hii ya Kibaguzi inayooteshwa Nchini.

Mh RAIS MAGUFULI amka kemea Wateule Wako wanaoharibu Nchi uliyoipokea ikiwa na Watu Wamoja na wenye Mshikamano.

HII DHAMBI MNAYOIASISI CCM ipo siku itawarudi km sio nyie basi Watoto Wenu.
 
huyu hapa Polepole
 
Attachments

  • Apandacho mtu ndicho atakachovuna ( 268 X 480 ).mp4
    370.1 KB

Mwenyekiti wa MTAA "anaswa"akihoji Watu km ni WANA CCM wakati wa kujiandikisha kwenye Daftari la WAPIGA KURA.

Baada ya kubanwa sana hatimae kasema WALIPELEKWA SEMINA na hayo ni maagizo ya KATIBU MKUU WA CCM BASHIRU ALLY.

VIONGOZI wa Dini amkeni "kemeeni" Dhambi hii ya Kibaguzi inayooteshwa Nchini.

Mh RAIS MAGUFULI amka kemea Wateule Wako wanaoharibu Nchi uliyoipokea ikiwa na Watu Wamoja na wenye Mshikamano.

HII DHAMBI MNAYOIASISI CCM ipo siku itawarudi km sio nyie basi Watoto Wenu.
Nilishasema huyu Bashiru ana elements zote za udikteta na uiterahamwe, sasa ushahidi huu kuwa yeye ndiye kiranja wa kusimamia mpango kazi wa kuvuruga mchakato wa uchaguzi mkuu ujao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia iliyotumika kupata ushindi wa 99% Serikali za mitaa, itatumika pia kupata ushindi wa kishindo 2020, by Bashiru Ally- Katbu Nkuu .
 
Mwenyekiti wa MTAA "anaswa"akihoji Watu km ni WANA CCM wakati wa kujiandikisha kwenye Daftari la WAPIGA KURA.

Baada ya kubanwa sana hatimae kasema WALIPELEKWA SEMINA na hayo ni maagizo ya KATIBU MKUU WA CCM BASHIRU ALLY.

VIONGOZI wa Dini amkeni "kemeeni" Dhambi hii ya Kibaguzi inayooteshwa Nchini.

Mh RAIS MAGUFULI amka kemea Wateule Wako wanaoharibu Nchi uliyoipokea ikiwa na Watu Wamoja na wenye Mshikamano.

HII DHAMBI MNAYOIASISI CCM ipo siku itawarudi km sio nyie basi Watoto Wenu.
Wala huyo sio mwenyekiti wa mtaa hayo nimaigizo. Yanaonekana kuanzia anayehoji na anayejibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti wa MTAA "anaswa"akihoji Watu km ni WANA CCM wakati wa kujiandikisha kwenye Daftari la WAPIGA KURA.

Baada ya kubanwa sana hatimae kasema WALIPELEKWA SEMINA na hayo ni maagizo ya KATIBU MKUU WA CCM BASHIRU ALLY.

VIONGOZI wa Dini amkeni "kemeeni" Dhambi hii ya Kibaguzi inayooteshwa Nchini.

Mh RAIS MAGUFULI amka kemea Wateule Wako wanaoharibu Nchi uliyoipokea ikiwa na Watu Wamoja na wenye Mshikamano.

HII DHAMBI MNAYOIASISI CCM ipo siku itawarudi km sio nyie basi Watoto Wenu.

umenikera kusema mh rais akemee wakati yy ndo kawatuma acha huo unafiki
 
Atakae amini clip hii atakua ni mpumbavu kama ulivyo wewe,prpoaganda za kipumbavu kutafuta huruma ya kushindwa,anae hoji kafichwa asionekane

Mimi wa huku njombe nitathibitishaje ya kuwa clip hii ni halali ,haijatengenezwa na nyie wakora?
Wapelekeeni waamerika ili waipe mbinyo serikali

Kama hujui kitu nyamaza
 
CCM ni lazima watambue kwamba uvumilivu wa watanzania utakapokoma hawatatamani kuishi ndani ya mipaka ya nchi hii.

Wengi watakimbilia uhamishoni. Watanzania siyo wapuuzi. Hii nchi ni yetu sote, mbavu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakae amini clip hii atakua ni mpumbavu kama ulivyo wewe,prpoaganda za kipumbavu kutafuta huruma ya kushindwa,anae hoji kafichwa asionekane

Mimi wa huku njombe nitathibitishaje ya kuwa clip hii ni halali ,haijatengenezwa na nyie wakora?
Wapelekeeni waamerika ili waipe mbinyo serikali

Sent using Jamii Forums mobile app

Tuliza mshono basi hujapona fresh, mnaumbuka mdogo mdogo.
 
Nchi imebadilika kuwa kilaji!
Screenshot_20200207-153815-picsay.jpeg
 
Mwenyekiti wa MTAA "anaswa"akihoji Watu km ni WANA CCM wakati wa kujiandikisha kwenye Daftari la WAPIGA KURA.

Baada ya kubanwa sana hatimae kasema WALIPELEKWA SEMINA na hayo ni maagizo ya KATIBU MKUU WA CCM BASHIRU ALLY.

VIONGOZI wa Dini amkeni "kemeeni" Dhambi hii ya Kibaguzi inayooteshwa Nchini.

Mh RAIS MAGUFULI amka kemea Wateule Wako wanaoharibu Nchi uliyoipokea ikiwa na Watu Wamoja na wenye Mshikamano.

HII DHAMBI MNAYOIASISI CCM ipo siku itawarudi km sio nyie basi Watoto Wenu.

Huwa sielewi mtu anaposema Magufuli akemee uhuni unaoendelea kwenye chaguzi hapa nchini, maana yeye ndio muhusika wa huu uhuni kwenye chaguzi za nchi yetu kwa sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom