CCM Waanza Kutwanga Wapinzani? Je ni haki????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Waanza Kutwanga Wapinzani? Je ni haki?????

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Oct 10, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  chama cha amani na mshikamano
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,817
  Likes Received: 36,921
  Trophy Points: 280
  Na wangemkamata aliyepiga picha hii wangempiga hadi wamuue.
  Ukiwa ccm uko juu ya sheria.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 4. J

  John W. Mlacha Verified User

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  wanaopigana kwa ajili ya siasa nawaona ni wajinga .hasa ccm
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Heri yake huyo amepigwa, hao huwa wanauwa kwa kitu kizito au chenye ncha kali kilichorushwa kutoka kusikojulikana!
   
 6. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Unajua inapofikia kuua ni tume, huku sheria zipo...halafu mambo yanapindishwa pindishwa tunaweza kujiundia "tume" yetu dhidi ya hao wapigaji katika picha..hebu tusaidiane tu hapo ni wapi wakuu?
   
 7. Mtukuru

  Mtukuru Senior Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Namuona Zomba kwa mbaliiiiiiiii!!!!!!!!!!!!
   
 8. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Kama kuna wakati mbaya kwao (zoba et al) ni huu tunapoonyeshwa ccm wakizipiga live! "Hoja" zao za kutii sheria zimeyeyuka!
   
 9. t

  tax New Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanaiuwa ccm na c siasa kwani kuruhusu pesa kumweka kiongozi madarakani ni kuruhusu mauwaji ya kisiasa yatokee,haya bwana takrimaaaaaaa
   
 10. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
Loading...