CCM waamua kujikusanya KIKANDA ktk kutangaza NIA

sensor

JF-Expert Member
Jan 27, 2015
2,467
1,084
Wasalaam,

Ktk kutafuta uungwaji mkono kwenye kinyang'anyiro cha kutafuta Urais, Wabunge na Madiwani CCM wameamua watumie Ukanda ili kukusanya wananchi wa kuwapigia kura.

Jana tulikuwa na Edward Lowassa pale Arusha ambaye huyu atakamata watu wa kanda ya Kaskazini.

Leo asubuhi tulikuwa na Stephen Masatu Wassira, huyu alikuwa anakusanya kanda ya Ziwa.

Jioni hii tuko na mtangaza nia ya Urais, Mwigulu Madelu Nchemba ambaye yeye anakamata nanda ya kati.

Muda unavyosonga tutakuwa na mtangaza nia Mark Mwandosya huyu atakuwa yuko kanda ya Nyanda za juu kusini.

Kule kusini yupo Bernard Camillius Membe, Pwani yupo January Makamba, Nyanda za juu Kaska kuna Kigwangwalla na kina Sitta hawa wataungana.

Kina Pinda na Sumaye hawa wataangalia upepo otherwise wataungana na team za karibu.

Wanachokifanya hapa ni kukusanya wapiga kura kwa maana kwamba hizi team zote zitakuja kuungana moja baada ya nyingine mwishowe itakuwa team moja waliokusanya wapiga kura kutoka ktk team zote.

Trick hii imebidi itumike makusudically kwa sababu kama wangeenda mojamoja kwenye mikutano yao ya ndani ya kuchagua wagombea wangepata wakati mgumu sana.
Kinachofanyika hapa ni mazingaumbwe/ kiini macho/ cheusi chekundu ktk kufanya kampeni kinyemela za kuwadanganya wananchi.

eg: Anayemsikiliza Mwigulu sasa hivi na uhalisia uliopo utadhani leo ndiyo kaletwa from mbinguni akaonyeshwa madudu ya CCM.
Anasema atazingatia maslahi ya walimu, mikopo kwa wanafunzi, madawa hospitalini, tutakwenda kwenye nchi ya viwanda:sly::sly::sly:

Walikuwa wapiii?

CCM acheni kudanganya wananchi wa Leo, mmechokaaa.
 
Lupumba nae alitumia strategy hiyo hiyo. Sasa ndio umegutuka. Kweli ujinga maradhi. Mleta mada anadhani kaleta cha maana.
 
Lupumba nae alitumia strategy hiyo hiyo. Sasa ndio umegutuka. Kweli ujinga maradhi. Mleta mada anadhani kaleta cha maana.

Tupe la maana boss otherwise huu uchildish wenu mgawane nyie wenyewe.
 
acha wachapane wao kwa wao,washagawanyika hawa.mambo yote.PEOPLEEEEES POWER

Hawa hawagawanyiki hata siku moja wanajuana wote. Hiyo strategy yao kimazingaombwe ili mkiamini chama na baadae wakishawateka wananchi kwa lengo la kukinusuru chama chao wanaungana na kuimba ka wimbo kao, " ccm no.1" kwani leo hujakasikia wakiimba kila mkutano wa mtangaza nia?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom