Hapa nilipo ktka ukumbi wa vijana sosho sabasaba kuna mahafali ya kuwakaribisha wanavyuo wapya wa mwaka wa kwanza ambao ni wanachama na makada watiifu wa CCM mgeni rasmi katka hafla hii ni mh. Mbunge wa jimbo la morogoro mjini Abood.
Kwakweli CCM chama dume, kidum chama cha mapinduzi.
Source: mimi
Kwakweli CCM chama dume, kidum chama cha mapinduzi.
Source: mimi