CCM vyuo vikuu Morogoro

Chimunu

Senior Member
Mar 4, 2013
159
25
Hapa nilipo ktka ukumbi wa vijana sosho sabasaba kuna mahafali ya kuwakaribisha wanavyuo wapya wa mwaka wa kwanza ambao ni wanachama na makada watiifu wa CCM mgeni rasmi katka hafla hii ni mh. Mbunge wa jimbo la morogoro mjini Abood.

Kwakweli CCM chama dume, kidum chama cha mapinduzi.

Source: mimi
 
Hapa nilipo ktka ukumbi wa vijana sosho sabasaba kuna mahafali ya kuwakaribisha wanavyuo wapya wa mwaka wa kwanza ambao ni wanachama na makada wa tiifu wa ccm mgeni rasmi katka hafla hii ni mh. Mbunge wa jimbo la morogoro mjini abood
kwakweli ccm chama dume kidum chama cha mapinduzi
source mimi

dume lisilozaa hanith
 
Chuo gani???
Isije kuwa ni MUM
 
Jitawaze alafu ndo uje upya chenga weye.

habar ndo iyo na hapa kuna wafuasi wengi wa chadema hasa kutoka jordani university na vyuo vingine wanarudisha kadi za chadema tuna imaliza kabisa chadema kama ulivyoona kinana anavyovuna makada kutoka chadema kutoka wilaya
 
aisee hi nisawa na ile ndoto ya ibilisi ya kumpoka Mungu nafasi aliyonayo, unafkri ndoto hi ya shetani ilifanikiwa au itafanikiwa?
 
Back
Top Bottom