CCM,vyama vya ushirika viliwakosea nn?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
3,472
2,000
Nimelia sanaaa,mh mwenyekiti wa ccm na ewe rafiki yangu kipenzi,haphrey pole pole,nifuteni machozi kwa takiribani miezi miwili nimekuwa mkoani morogoro,nikitoa huduma kwa vyama vya ushirika,huduma ya kutoa elimu, na kukusanya madeni katika vyama vya ushirika, kilichoniliza ndugu zangu n kukuta chama kindaiwa 2b,na taasisi mbalimbali za kifedha,kibaya zaidi,unakuta. Vyama hivyo vilishapoteza mpka amana zaidi ya 2b,lakin kibaya zaid mh mwenyekiti,viongozi wa ccm aither kwa kutumika kama wenyeviti,au kwa kuweka uongozi wanao utaka wao wameweza kujikopesha fedha nyingi na hawalipi,na bado wanajiita viongozi waadilifu,nikupe mfano mzee wangu mwenyekiti,kuna bwana mmoja mlimtambua kama kamanda wa vijana mkoa wa morogoro miak mingi iliyopita,amepiga pesa nyingi kwenye vyama vya ushirika,mkoa wa morogoro nae ndie alie kuwa sapoter mkubwa,wa mgombea ubunge, w ccm wa kilombero mwaka jana,siandiki kisiasa naandika na naomba uhu uwe mfano,sasa kupitia tume y maendeleo ya ushirika nchini,iundwe tume ya kuchunguza ubadhilifu wa mabilioni ya fedha yaliyotafunwa uone akina nani walitafuna mapesa hayo,hapo ndugu yangu kipenzi pole pole utajua akina nani unaanza nai kuwasafisha kwwnye chama
 

PanAfricanists.

Senior Member
Jan 22, 2016
179
250
Ndio hapo tulipokosea kuweka wanasiasa kwenye vyama vya ushirika eti wenye viti, vyama vya ushirika ni taasisi kama taasisi nyingine za serikali, zinapaswa kufanyiwa ukaguzi kila mwaka na kubaini matumizi mabaya na kuchukua sheria staiki, na ukweli ni kwamba hatutaweza kuinua vipato vya watu masikini uko vijijini bila kurudisha vyama vya ushirika vyenye uwezo wa kujiendesha kwa faida.
 

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
3,472
2,000
Well said broo! Ushirik ndo njia pekee ya kuwakomboa watu wavijiji ni lakin tuspo pitisha amri na panga pangua wanaccm wataua vyama vya ushirika
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom