CCM Vs CHADEMA

At Calvary

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
4,513
3,552
Habari ya wakati huu wanajamvi.

Natumaini wengi wenu mnaendelea vyema na ujenzi wa taifa huku mkiendelea kuchukua tahadhari dhidi ya CORONA.

Samahani naomba kujua mtazamo wenu kama wadau wa siasa. Kati CCM Vs CHADEMA, ni nani ana nguvu mtandaoni.
Naanza mwenyewe kwa kudaclare interest mimi niko CCM ni damudamu sielewi chochote.

Kwa wakati huu, uliopita na ujao CCM imeendelea kuwa imara zaidi na zaidi kuliko CHADEMA.

CCM kwa sasa chini ya Rais Magufuli imeendelea kufanya vyema na kuwapa wakati mgumu vyama pinzani hasa CHADEMA. Hii imepelekea CHADEMA kukosa hoja kwa kuwa Magufuli amekuwa akifanya vyema katika mambo mengi nchini na kuishia kuwa na person attack kwa viongozi mbalimbali wa chama na serikali ikihusisha na wanachama wake CCM.

Mtazamo wangu juu ya CHADEMA nionavyo mimi mwaka huu naona kifo kikuu kwa chama CHADEMA, Wanaenda kuzikwa rasmi October tunaenda kukamilisha kile ambacho kilianzishwa na mheshimiwa Tulia.

Naomba kutoa hoja.

CCM Strengths:
1.

CCM Weaknesses:
1.

CHADEMA Strengths:
1.

CHADEMA Weaknesses:
1.

Karibuni kutoa hoja:
Naomba kuwasilisha.

Viva CCM Viva.
Viva CCM Vijana Viva.

At Calvary.
 
MKUU FUATILIA , CUF NCCR, TADEA, CCJ Magufuli amesema chadema imekufa
IMG_20200301_124256.jpg
 
Chadema wana ID nyingi mno kuliko CCM lakini ujengaji hoja wako chini
Mimi hata niwe peke yangu mwana CCM naweza pambana kwa hoja nzito na wanachadema elfu moja

Wako wengi hoja za nguvu hawana pia threads utathibitisha hili
 
Chadema wana ID nyingi mno kuliko CCM lakini ujenggaji hoja wako chini
Mimi hata niwe peke yangu mwana CCM naweza pambana kwa hoja nzito na wanachadema elfu moja

Wako wengi hoja za nguvu hawana pia threads utathibitisha hili
Usisahau wakati JK anamkabidhi madaraka Magufuli alimwambia usiwasahau vijana wetu wa CCM wa mtandaoni.

Kula Buku 7 yako hapo kiroho safi.
 
Nguvu ipime hapa
Hoja za kusifiasifia upumbavu wa CCM hazina uchangiaji mwingi
Masaa 4 waliounga Hoja yako kwa kuchangia hata wanne hawafiki

Ila subiri uteuzi, nafasi zinazidi kuwa wazi tu

Wabunge 2 wa kuleuliwa
Wakuu wa wilaya Mtwara na Geita
Mpelelezi PCCB
Na mkuu wa wilaya Chalinze (probably) maana kajichongea Leo
Nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna haja ya hizi siasa kipindi hiki, muhimu tumuunge mikono Rais Magufuli aendelee kufanikisha na kutimiza ahadi zake.
 
Naomba kutoa hoja.

CCM Strengths:
1.Vyombo vyote vya dola

CCM Weaknesses:
1.Ufisadi

CHADEMA Strengths:
1.Peoples power

CHADEMA Weaknesses:
1.Viongozi wa kweli wanashindwa kujoin huku kwa kuogopa uonevu uliopo unaofanywa na dola

Karibuni kutoa hoja:
Naomba kuwasilisha.

Viva CCM Viva.
Viva CCM Vijana Viva.

At Calvary.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom