CCM vs CHADEMA;NANI MTANI JEMBE? KUKOMESHA UBISHI PIGA KURA YAKO SASA!

TRIPLE H

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
651
349
Siasa ni mchezo unaosisimua,kuburudisha,kufurahisha,kuchekesha na hata kuhuzunisha hasa unaposhindwa, kama ilivyo michezo mingine yote.
Tofauti yake mchezo wa kisiasa unatumia akili zaidi,weledi zaidi na hekima zaidi; si maguvu kama kina john cena.
Na siku zote mashabiki,wapenzi na wanachama wa timu pinzani husifia timu zao hasa makocha,viongozi na wachezaji wenyewe.Ukikutana na wana msimbazi utasikia "simba jembe,anatisha!" Wana wa jangwani hao usiseme,utawasikia kila mahali "yanga jembe,we acha tu"Ili kukata ngebe zao we wape pambano,utaona jembe ni nani.
Kadhalika hapa jf malumbano na ubishi usiseme,wasiojua jadi ya mchezo wa siasa wanaangusha hadi matusi ya nguoni.Sasa ili kukomesha kihelehele na domo kaya tupige kura za kistaarabu hapa jamvini na mods watuwekee majibu vzr tuone ktk siasa za bongo nani mtani jembe kati ya CCM na CHADEMA.Kwa kufanya hivi majembe ya ukweli tutayatambua na wasindikizaji pia na hiyo itatupa prediction ya bingwa 2015!
PIGA KURA YAKO SASA.
 
Nianze kwa kukukosoa.
Siasa sio mchezo na wala haipo kwa lengo la kuburudisha wala kufurahisha.

Siasa ni utaratibu wa watu kujitawala kwa lengo la kujiletea maendeleo.

Na pia sio jambo jema kulinganisha Chama cha Mizigo na CDM
 
Dont test presence of electricity by tongue,,,,hizi co ndondiii au michezo yenu ya danadana ya hko kitaaaaaa tafadhali ucjaribu kupambanisha jambazi na mdokozi tena naejifunza udokozi at nani mtalaaaaam wa kuiba.
 
CCM wako kazini kuwaletea watanzania maendeleo. Hayo mambo ya mtani jembe ni matangazo ya biashara. CCM haifanyi huo ujinga.

USHAURI: Labda shindanisha chadema, nccr na cuf.
 
Ccm= mavi. Huwezi kulinganisha mavi na chakula hata siku moja. Cdm mkombozi wa wananchi.
 
Siasa ni sayansi na cdm iko juu sana hicho chama kingine unaweza kukishindanisha na ccj ambao viongozi wake wake ni haohao wa ccm kina nape
 
CCM sawa na zigo la kinyesi,usipolitua kwa uzito wake basi utalitupa kwa harufu yake mbaya! Wanaosema kuna mawaziri mizigo hawajakosea.
 
Mleta uzi, kama ulivyokosolewa hapo awali, siasa nizaidi ya simba nayanga.ni maisha yet.
 
Siasa ni sayansi na cdm iko juu sana hicho chama kingine unaweza kukishindanisha na ccj ambao viongozi wake wake ni haohao wa ccm kina nape
 
Siasa ni mchezo unaosisimua,kuburudisha,kufurahisha,kuchekesha na hata kuhuzunisha hasa unaposhindwa, kama ilivyo michezo mingine yote.
Tofauti yake mchezo wa kisiasa unatumia akili zaidi,weledi zaidi na hekima zaidi; si maguvu kama kina john cena.
Na siku zote mashabiki,wapenzi na wanachama wa timu pinzani husifia timu zao hasa makocha,viongozi na wachezaji wenyewe.Ukikutana na wana msimbazi utasikia "simba jembe,anatisha!" Wana wa jangwani hao usiseme,utawasikia kila mahali "yanga jembe,we acha tu"Ili kukata ngebe zao we wape pambano,utaona jembe ni nani.
Kadhalika hapa jf malumbano na ubishi usiseme,wasiojua jadi ya mchezo wa siasa wanaangusha hadi matusi ya nguoni.Sasa ili kukomesha kihelehele na domo kaya tupige kura za kistaarabu hapa jamvini na mods watuwekee majibu vzr tuone ktk siasa za bongo nani mtani jembe kati ya CCM na CHADEMA.Kwa kufanya hivi majembe ya ukweli tutayatambua na wasindikizaji pia na hiyo itatupa prediction ya bingwa 2015!
PIGA KURA YAKO SASA.

Tutume meseji kama zile za Simba na Yanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom