TRIPLE H
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 651
- 349
Siasa ni mchezo unaosisimua,kuburudisha,kufurahisha,kuchekesha na hata kuhuzunisha hasa unaposhindwa, kama ilivyo michezo mingine yote.
Tofauti yake mchezo wa kisiasa unatumia akili zaidi,weledi zaidi na hekima zaidi; si maguvu kama kina john cena.
Na siku zote mashabiki,wapenzi na wanachama wa timu pinzani husifia timu zao hasa makocha,viongozi na wachezaji wenyewe.Ukikutana na wana msimbazi utasikia "simba jembe,anatisha!" Wana wa jangwani hao usiseme,utawasikia kila mahali "yanga jembe,we acha tu"Ili kukata ngebe zao we wape pambano,utaona jembe ni nani.
Kadhalika hapa jf malumbano na ubishi usiseme,wasiojua jadi ya mchezo wa siasa wanaangusha hadi matusi ya nguoni.Sasa ili kukomesha kihelehele na domo kaya tupige kura za kistaarabu hapa jamvini na mods watuwekee majibu vzr tuone ktk siasa za bongo nani mtani jembe kati ya CCM na CHADEMA.Kwa kufanya hivi majembe ya ukweli tutayatambua na wasindikizaji pia na hiyo itatupa prediction ya bingwa 2015!
PIGA KURA YAKO SASA.