CCM uwanja wa ndege Songwe (Mbeya) ni kitendawili kisicho na majibu

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=3][/h]

Hili ni jengo la kupokelea abiria mpaka sasa uwanja huu haujulikani utakamilika lini kwani toka mwaka jana walisema mwezi wa kumi na mbili 12 utaanza kufanya kazi lakini mpaka sasa uwanja huo unaendelea kujengwa na haijulikani utakamilika lini

Hii ni barabara ya kutua na kurukia ndege ikiwa imekamilika


Hii ndiyo hali ya halisi ya uwanjani hapo kitendawili chake hatujui kitateguliwa lini



 
Kuna mkono wa mtu pale. Mabingwa wa maombezi na mafundi wa ndumba watusaidie.
 
Hivi kuna anayeweza kusaidia maelezo kwamba kwa nini majengo karibu yote yanayokuwa designed na "wataalam" wa Kitanzania huwa yanakuwa na mapaa yanayoezekwa? Nilikuwa sijawahi kuona picha za huu uwanja, lakini najiuliza kwa nini majengo yake hayana muonekano wa terminal buildings za uwanja wa ndege na badala yake yapo kama dispensary?
 
Local Engineers planned this... ina onyesha kuwa hawajawahi kufika kwenye uwanja wowote wa Ndege

Wanajenge na kuezeka kwahiyo ni vigumu kuexpand huo uwanja...

Aibu tupu...
 
Architects na engineers wetu wengi hawana exposure ya wenzao wanafanya vipi mambo huko nje na ndio maana hata nyumba za National Housing wanazojenga hazinaubunifu wa ku incorporate environmental considerations kwenye michoro yao!!Nyumba zinajengwa tu kama mabox bila kujali mambo kama ya energy conservation.
 
Hivi hawa architects na engineers huwa wanafundishwa nini mfano pale chuo cha ardhi? Maana hata mtoto mdogo anaweza kwenda kwenye Google images na akapata picha kama milioni hivi za majengo ya viwanja vya ndege dunia nzima; wao wanafanya utafiti wao wapi?
 
Kuna kitu kinaitwa work training... hawapelekwi Nje kuangalia wenzao kama Arabuni au Skandavian countries?

Hela Tunazo wachache wanatumia kwenda nje bila sababu za kimaana
 
Back
Top Bottom