CCM: Umasikini Tanzania. CDM: Rasilimali za WATZ ni utajiri mkubwa.

Logo

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
588
48
Nilimtembea bibi kijijini, majirani waliniona.
Sikusita kuzungukia humo kijijini, kuangalia maisha.
Nilitoa machozi kwa chini, taifa lilivyomaskini.
Maisha ya mtanzania huyatamani, anavyopigika nchini mwake.
Utafikiri ameazimwa, hili limeniuma sana.

Ufisadi migodini, hili pekee laniuma.
Wenzetu wanakula maini, kwa mikataba feki migodini.
Ee mora tusaidie, siku moja wakione cha moto.
Jaman shinyanga ina migodi mingiiiiiiiiiiiiiii.

Kakola mining, Buzwagi mining, Mwadui Mining, Maganzo, Ihelele, lete mengine.......haya yote yapo shinyangaaaaaaa.
Mkoa huu uasota, kila kitu kimedorola.
Mafisadi wamehujumu, jaman nipeni nguvu niwaibukie.

Hakika CCM ni mafisadi 100% chadema mkombozi wa WAtanzania.
Shinyanga tunakuja, mjiandae wezi wa mikataba feki mgodini!

Sasa kumekucha, yule mtetezi wa haki ulimwenguni ameliona hili mjiandae mafisadi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom