Elections 2010 CCM Ughaibuni mko wapiiiiiiiiii?

VUVUZELA

JF-Expert Member
Jun 19, 2010
3,103
785
Haya wadau wa CCM ughaibuni na vijimatawi vyenu uchwara mko wapi? Mbona kimyaaaa?
Wananchi bongo wameshaanza kutia akili na kubadilika na ninyi mlio ughaibuni tulitegemea ndio mtakuwa wa kwanza kubadilika kutokana na exposure mnayoipata mkiwa nje ya nchi lakini njaa zenu zinawasumbua na kuendelea kudanganya na Chama Cha Mafisadi. Huu ni mwanzo tu 2015 hamtopata hata udiwani.
Endeleeni na ujinga wenu. Muendelee na schedule ya Boksi na kujipendekeza CCM manake mtaonwa na mtapewa ukuu wa wilaya. Boksi halina ujanja, SHWAINIIII NYIE
 
Wenye akili wote wanajua kuwa hii ni haibu tupu. Walioughaibuni walio CCM either waliletwa na hao baba zao kwa pesa za umma au wnajifanya marafiki na hao watoto wa wakubwa. CCM haibu tupu. Kuna rafiki yangu nimemwambia ukweli kwamba yeye kuisupport CCM inanipa mashaka uelewa wake ukoje wakati ameshakaa ughaibuni na anajua jinsi gani nchi iliyoendelea inavyoendeshwa.

CCM HAIBU TUPU.
BUKOBA WAMENITIA HAIBU
 
mkuu tafadhali naomba usijumuishe wote walioko ugaibuni wanaisupport CCM (chama cha majizi) tumekuwa nanyi toka mwanzo wa campaign.... mpaka sasa hivi mimi nina siku tatu silali vizuri. kwa hiyo msife moyo tuko pamoja kabisaaaaaaa....
 
Wenye akili wote wanajua kuwa hii ni haibu tupu. Walioughaibuni walio CCM either waliletwa na hao baba zao kwa pesa za umma au wnajifanya marafiki na hao watoto wa wakubwa. CCM haibu tupu. Kuna rafiki yangu nimemwambia ukweli kwamba yeye kuisupport CCM inanipa mashaka uelewa wake ukoje wakati ameshakaa ughaibuni na anajua jinsi gani nchi iliyoendelea inavyoendeshwa.

CCM HAIBU TUPU.
BUKOBA WAMENITIA HAIBU
Nakubali kuwa Kagera imetia aibu lakini haiingii akilini kwa nini Dr. Slaa ashinde Bukoba mjini lakini Lwakatare ashindwe. Hapo kuna kitu. Nadhani Biharamulo na Karagwe wataokoa jahazi lakini kuna haja ya kujipanga upya kuondoa aibu hii.
 
Hawa wana CCM walioko huku ughaibuni hawana kitu. Kazi zao kusafisha vyoo na nnya za wazungu; hata kazi ya kusafisha barabara hawawezi kuipata huku! Au mnataka niwatajie majina yao?
 
Ebwana ukisema wote tulioko nje ni CCM supporters unakosea.Sio wote babu ni baadhi tu na nimeshajiuliza wanafaidika nini na hivyo vijimatawi mbuzi sipati jibu... Ndugu zao vijijini wanaishi kama wanyama kwa kukosa huduma muhimu wao ni kujipendekeza tu na matawi ya umbea.
 
Na nyie Chadema mumenyakua viti vingapi kati ya viti 239 ya kuchagua? Msiongee kama wendawazimu na badala yake muwe na takwimu mbele zenu! Mweeee!
 
Kujitambuli kivyama ugahibuni ni ujinga au kijipendekeza naelewa watu wengi wanachanganya mambo kwao CCM ni nchi na Tanzania ni CCM.Tanzania ni ya watanzania CCM sasa inakufa lakini tanzania itabaki.Hayo matawi utitiri ya CCM ugaibuni yamefanyanini kuisaidia CCM Msiwe wajinga mnaalikwa kwenye vipati ubalozini mnapea bia na soda maofisa wa ubalozi wanajenga nyumba bongo chini ya mfuko wa kuviunga mkono matawi ya ccm amkeni ni aibu.Mmepiga kura?!!!!!! nia aibu mambo hayo yanapofanywa na watu wenyeakili zao MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Haya wadau wa CCM ughaibuni na vijimatawi vyenu uchwara mko wapi? Mbona kimyaaaa?
Wananchi bongo wameshaanza kutia akili na kubadilika na ninyi mlio ughaibuni tulitegemea ndio mtakuwa wa kwanza kubadilika kutokana na exposure mnayoipata mkiwa nje ya nchi lakini njaa zenu zinawasumbua na kuendelea kudanganya na Chama Cha Mafisadi. Huu ni mwanzo tu 2015 hamtopata hata udiwani.
Endeleeni na ujinga wenu. Muendelee na schedule ya Boksi na kujipendekeza CCM manake mtaonwa na mtapewa ukuu wa wilaya. Boksi halina ujanja, SHWAINIIII NYIE

Kaka sio wote tuna akili nusu hivo bana, sie wengine hata hatutaki kusikia mambo ya siasa huku..,
So sio wote mkuu..!!
 
Kujitambuli kivyama ugahibuni ni ujinga au kijipendekeza naelewa watu wengi wanachanganya mambo kwao CCM ni nchi na Tanzania ni CCM.Tanzania ni ya watanzania CCM sasa inakufa lakini tanzania itabaki.Hayo matawi utitiri ya CCM ugaibuni yamefanyanini kuisaidia CCM Msiwe wajinga mnaalikwa kwenye vipati ubalozini mnapea bia na soda maofisa wa ubalozi wanajenga nyumba bongo chini ya mfuko wa kuviunga mkono matawi ya ccm amkeni ni aibu.Mmepiga kura?!!!!!! nia aibu mambo hayo yanapofanywa na watu wenyeakili zao MUNGU IBARIKI TANZANIA

I dislike this sweeping myopic generalization. Wanajikombakomba kwenye CCM/ubalozini ni wachache sana, na ni ktk baadhi tu ya nchi...
 
Sikuzote na questin uwezo na akili za viongozi na wanachama wa chama cha mtandao chadema!!! Utawajua kwa uropokaji na kufanya vitu bila ya umakini,

kwa hiyo kama huja support chadema kubalini mitusi kutoka kwa walokole wa Chadema
 
Angalieni hizi post nyingine jamani...anyway...watu wakibeba box au wakisafisha vyoo its their biz...na ungeweza tu kuwataja hao CCM wa ughaibuni usiwe unaropoka tuuu!Kuna watu tumekuja huku kwa michongo yetu na hizo siasa za uchochoroni wala hazituhusu kihivyo!
 
hahahah mzee umepigwa chini ya belt nini?
 
Nasikia Democratic party cha marekani wanataka kufungua tawi bongo pia. Strange huh!
 
Inashangaza hata taahira anashangaa kwanini watu wanamwona taahira. Ukweli ni kuwa kama anashangaa watu kumwona taahira ni kuwa hajapona utaahira manake bado hajajitambua ni taahira ila tu anashangaa watu kumwona taahira.
Ni kwamba kuisupport chama kama CCM na ukajisikia unafanya jambo zuri licha ya matatizo yanayosababishwa na chama hicho; wizi, ujanja ujanja, uzembe wa ofisi za umma, umaskini mkubwa wa ndugu zako kule kijijini na mjini nk ni kuwa aidha huna hisia za huruma na dhamira inayowajibika, mzembe wa kufikiri au ubinafsi.
Ukiwa hivo hutaacha kuwashangaa wana harakati kama wanachadema kwani una moyo wa jiwe usio na hisia zozote za kuwajibika, kuwa na huruma kwa ndugu zako maskini sana na umejaa kiburi cha kuridhika licha ya kuwa u maskini wa fikra na mali.

Sikuzote na questin uwezo na akili za viongozi na wanachama wa chama cha mtandao chadema!!! Utawajua kwa uropokaji na kufanya vitu bila ya umakini,

kwa hiyo kama huja support chadema kubalini mitusi kutoka kwa walokole wa Chadema
 
Haya wadau wa CCM ughaibuni na vijimatawi vyenu uchwara mko wapi? Mbona kimyaaaa?
Wananchi bongo wameshaanza kutia akili na kubadilika na ninyi mlio ughaibuni tulitegemea ndio mtakuwa wa kwanza kubadilika kutokana na exposure mnayoipata mkiwa nje ya nchi lakini njaa zenu zinawasumbua na kuendelea kudanganya na Chama Cha Mafisadi. Huu ni mwanzo tu 2015 hamtopata hata udiwani.
Endeleeni na ujinga wenu. Muendelee na schedule ya Boksi na kujipendekeza CCM manake mtaonwa na mtapewa ukuu wa wilaya. Boksi halina ujanja, SHWAINIIII NYIE

Huku tulipo hata kama tutageuka kuwa wapinzani dhidi ya CCM uchache wetu hatutasaidia kitu huku tulipo tupo na ushabiki wa vyama viwili vikuu vya huko CCM na

CUF wengi wao watu huku tunashindana kuhusu hivyo vyama na hao wa CUF
wanachotaka chama chao kishinde ili suala la Muungano livunjike kuhusu vyama vingine kama Chadema

huko ni watu wachache sana. Inatakikana nyinyi muliopo ndani ya nchi muonyeshe ujasiri wenu wa kuchaguwa viongozi wenye mapenzi na walala hoi ndipo sisi tuliopo nje

tuwaunge mkono sio kutulalamikia sisi Waswahili husema Umoja ni nguvu na Utengano ni udhaifu kuweeni kitu kimoja muwaondoshe viongozi mafisadi asanteni.
 
VUVUZELA
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
user-offline.png
Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join DateSat Jun 2010Posts26Thanks0Thanked 8 Times in 5 Posts Rep Power0

Did you find this post helpful? |
icon1.gif
CCM Ughaibuni mko wapiiiiiiiiii?

Haya wadau wa CCM ughaibuni na vijimatawi vyenu uchwara mko wapi? Mbona kimyaaaa?
Wananchi bongo wameshaanza kutia akili na kubadilika na ninyi mlio ughaibuni tulitegemea ndio mtakuwa wa kwanza kubadilika kutokana na exposure mnayoipata mkiwa nje ya nchi lakini njaa zenu zinawasumbua na kuendelea kudanganya na Chama Cha Mafisadi. Huu ni mwanzo tu 2015 hamtopata hata udiwani.
Endeleeni na ujinga wenu. Muendelee na schedule ya Boksi na kujipendekeza CCM manake mtaonwa na

Wanachama Wapya wa humu J.Forums Matusi matupu ehhh tutafika jamani?
 
Vuvuzela wewe ni vuvuzela kweli kwa maana hauongei point uka sikika bali unaongea kwa nguvu ili usikike. Sina uhakika kama ulipitia upya ulicho andika kabla ya kupost. Kama ulifanya hivyo na bado ukaona post yako inafaa kubandikwa basi una matatizo. Wewe mkuu ni muoga wa kutoa hoja. Unapenda kuandika kitu ambacho ni popular na wengi kwa maana unajua uta tetewa na wenye akili kama zako.

Kwanza si haki kuwa generaliza Watanzania wote waliopo nje kama supporters wa CCM. Nina uhakika hauna takwimu za Watanzania waliopo nje na wangapi kati yao ni affiliates wa CCM. Wewe unacho chukulia ni kwamba kisa ughaibuni kuna matawi ya CCM tu na siyo ya vyama vingine basi wote wa huko ni CCM. Je vyama vya upinzani vime katazwa kuanzisha matawi nje?

Swala lingine ni kwamba Watanzania waliopo nje hawa wezi kupiga kura. Kwa hiyo awe CCM, Chadema au chama chochote kile kingine haki badilishi matokeo ya uchaguzi Tanzania. Hata kama wange ruhusiwa kupiga kura idadi yao ni ndogo kuaffect kura za uraisi. Kwa hiyo kuwa lalamikia kwa nini wana support CCM na kuwa force wakubaliane na wewe inaonyesha wewe mwenyewe ume kosa strategy na haujui ni wapi paku tafuta support kwa ajili ya chama chako.

Kingine ambacho mimi kime niturn off kuhusu Chadema japo nawa kubali sana baadhi ya wagombea wao kama the likes of Slaa na John Mnyika ni kitendo cha kuona kila ambae si supporter wa CCM basi si mzalendo na haitakii mema Tanzania. Huo ni upumbavu. Nchi mbali mbali duniani na hata zile zilizoendelea vyama vyote vina supporters na hamna anaye angaliwa kwa jicho baya kwa kuwa supporter wa chama kingine. Sasa hiyo mentality yenu ya "you are either with us or against the nation" ndicho kinacho waondolea appeal.

Kwa hiyo Vuvuzela hizi kelele zako sizielewi kabisa. Badala ya kushawishi wapiga kura wasupport mawazo yako u
na wakalipia watu ambao hata hawapigi kura. Hivi leo Chadema kingeshinda ungekuja na post ya jazba kama hii? Fikiri kabla ya kuandika.
 
:nono:Hiyo kweli hata mimi inanikera sana, hawa jamaa wanaojifanya kuanzisha matawi ya ccm hasa walioko Uingereza hawajui walifanyalo zaidi ya kutaka kujipendekeza, hawa jamaa ni malimbukeni haswaaaaaaaa!!!! na wanajua fika kwamba hiyo ccm hakuna cha maana inachokifanya zaidi ya kukamua bila huruma wananchi wake! na kuwadanganya kama watoto wadogo, na hili wanalielewa vizuri sana kwani wameona ni jinsi gani demokrasia ya kweli inavyokuwa kwenye nchi za wenzetu halafu wanajifanya wakereketwa wa ccm hata aibu hawana, mikubwa mijinga hii na wanapenda sana kumtumia huyu mnafiki mwenye blog (michuzi), huyu jamaa naye sikutegemea kama ni chui anayevaa ngozi ya kondoo kwa kujifanya haegemei upande wowote! nilikuwa mmoja wa mashabiki wake wakubwa sana kwenye blog yake baada ya kujua kumbe ni mnafiki mkubwa sitarajii kupoteza muda wangu tena kwake wabaki naye haohao wenye kiherehere cha njaa, heshima yote kwisha!!! jinga kabisaaa.
 
Back
Top Bottom