William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Well, leo Asubuhi CCM imemchagua Mh. Job Ndugai kuwa Mgombea pekee wa chama hicho kwenye nafasi ya Uspika na sasa inabaki nafasi ya Naibu Spika. Kwanza ni muhimu sana Wabunge wetu wakazingatia jinsia kwa maana ya kwamba kwa vile Spika atakuwa ni Mwanaume basi ni muhimu sana Naibu Spika awe Mwanamke na muhimu kuliko yote awe na sifa ya elimu ya Sheria.
- Yaani Mwanamama anayeweza kusimamia Sheria katika kiti cha Uspika na kwa hilo Dr. Tulia Ackson anakuwa ni the best Candidate for the post, kama mwana CCM ninawasihi wale wote waliochukua fomu za Unaibu Spika kumpa nafasi huyu Mwana Dada kijana mdogo aliyekifanyia kazi njema sana Chama chetu cha CCM kwenye bunge la katiba na hata kwenye ishu ya Umbali unaotakiwa kisheria kwenye vituo vya kupigia kura, alionyesha msimamo mzuri sana wa kuelewa na kusimamia Sheria.
- Again CCM tutajisaidia sana kama tutaungana kumpa nafasi huyu Mwana Dada, ni matumaini yangu Wabunge wa CCM mnanisikia na kunisoma loud and Clear kwenye hili twende na Shule!!, kama itawapendeza mliochukua fomu za Unaibu Spika CCM zirudisheni kusudi twende kwa mbele na Elimu kwanza!! - Le Mutuz Nation