CCM Tusifanye Makosa Tunatakiwa kuwa na Naibu Spika Msomi Hakuna Namna!

Taratibu bro.

Toka lini mimi ni CHADEMA?

Mimi sijawahi kuwa CHADEMA na sijawahi kuwa CCM na kamwe sitokuwa.

Na 'respect to education' has got nothing to do with the democratic process or rather lack thereof, in CCM.

- Ma nigaz Elimu kwanza nothing else mamen!!

le Mutuz
 
lemutuz daha kitambo sijaona thread zako nigga, hope huu ndo mwanzo.

- I know nilikuwa busy sana na kampeni za kumkoma nyani giladi na sasa napigania Elimu hapa, nipo U know ila very busy now nina new TV Talk Show so busy sana U know

le Mutuz
 
Eti kama mwana CCM:sly::sly::sly: Mpo tu kwa kuishi kwa kodi zetu na siku zote mnawaza CCM iwepo milele ili muendelee kutukamua malofa.
 
Kubwa jinga katika ubora wake. Au unafikiri na wewe na ndoto zako za ubunge wa kupewa zitatimia
 
- Hakuna mwenye elimu kama yake sasa ana compete na nani? Mmezoea kuongozwa na mediocre poleni sana huko kwenu sema Elimu ya Mwenyekiti kwanza kama anaweza kushidana na huyu msichana mdogo? Aibuu hahahaha

le Mutuz

hivi kila anayetaka demokrasia ichukue mkondo wake ni CHADEMA!?

Hivi kama unajiamini unaogopa nini kushindana!?

Huyo dada kweli msomi na atumie usomi wake kuwashawishi watu wamchague.
 
- Ninataka kuamini wewe ni genius, sasa umekujajej kunijibu mtu nisiye na akili? hahahahahah unataka na mimi nimchukue baby wangu nimpe viti maalum au what? hahahahahahahah

le Mutuz

Asa nani kaongelea viti maalum hapa??? Was tryn to put some sense into that empty head of uaz ila kwa kua ushazeeka imekua kazi kwelikweli!!! Na umekuja na sumthn we oldy know,,,,awe msomi au mbumbumbu ndo naibu haina haja ya kuanzisha uzi ungecomment tu kweny uzi wa tulia ungeonekana!!!
 
Vipi Mosha kashinda Moshi?? Vipi na yule Mama yako ambae ni mdogo wako kiumri nae kashinda??
 
  • Thanks
Reactions: Art
Asa nani kaongelea viti maalum hapa??? Was tryn to put some sense into that empty head of uaz ila kwa kua ushazeeka imekua kazi kwelikweli!!! Na umekuja na sumthn we oldy know,,,,awe msomi au mbumbumbu ndo naibu haina haja ya kuanzisha uzi ungecomment tu kweny uzi wa tulia ungeonekana!!!

- I know ungeanza na viti maalum huko kwenu vipi Zubeda Sakuru naye ni mbunge wenu viti maalum? hahahahahahah

le Mutuz
 
hivi kila anayetaka demokrasia ichukue mkondo wake ni CHADEMA!?

Hivi kama unajiamini unaogopa nini kushindana!?

Huyo dada kweli msomi na atumie usomi wake kuwashawishi watu wamchague.

- Ungeyajua haya ungewasaidia huko kwenye kuchaguzi Viti maalum, mbona ilikuwa aibu? huku hayawahusu ok!!

le Mutuz
 
Tundu lisu anamsubiri kwa hamu amgaragaze halafu uone elimu yake ikoje .Utaona bora Zungu

- Zitto tu kamtesa mahakamani itakuwa huyu msomi wa kimataifa msichana mdogo sana Lisu ataumbuka tu na elimu za kuunga unga hapa mjini hahahahahahaha

le Mutuz
 
Hoja ni nzuri sana. Le mutuz una bahati wale maharamia 189 wapo lupango. Wale watu wangekuwepo tungeshuhudia mitusi mwanzo mwisho.
 
Back
Top Bottom