SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,756
Tuliza mshono,wanaongea wanaume.BAVICHA mnaumiaje na mambo yanayotokea CCM?
Tuliza mshono,wanaongea wanaume.BAVICHA mnaumiaje na mambo yanayotokea CCM?
Kwingine kote umepatia Ila hapo kwenye dini umebugi,kiimani ile misukule yake pale ubungo tu ndiyo inamkubaliGwajima ni asset na sio liability, atasamehewa na maisha yataendelea. But huyu atakuja kuwa Mtikila wa pili atasumbua sana na shida yake ni madaraka makubwa zaidi worst case scenarion huyu anatokea kanda ya ziwa ( kanda ambayo ina wapiga kura wengi pia)halafu fitina anazijua. Pili amesimama kutoka kwenye kundi la dini that is why he is an asset and not a liability.
Daah! Mkuu umeandika maandishi mazito Sana.Ntashangaa president Samia na Mohamed mcherenga , na Shaka , na mkuu wa TISS, Kama wataacha kumshughulikia huyu taperi mmoja asiye na heshima kwa mamlaka,
Wakimuacha wajiandae atafanya upuuzi na dharau zaidi ya hizo..
Gwajima inatakiwa itumike namna Kama yakufuta maandishi kwenye kitabu, azimwe tu, Ni mtu hatari sana
Siku hizi hakuna uchaguzi. Huwa kuna usimikaji wa watu wa ccm kuwa rais, wabunge na madiwani.Unamaanisha wanaandaa taratibu za kuchukua jimbo kwanza kisha ndo wanafukuza sio?
Hahaha sisi acga tuvute seat pacha tuangalie drama linavyo unfold.Pacha hii sinema safari hii ni kiboko ya karne. Mama akiendelea kujifanya kaziba masikio kwetu viherehere wa JamiiForums tunao jaribu kumpigia kelele na kumuuzia ramani ya vita. Imekula kwake.
Sisi Yetu
Hahaaaaaa he is just a drop in the ocean trust me.CCM hawawezi kumgusa Gwajima,ana 'watu' wakimgusa chama kinasambaratika mchana kweupeeeeee. Hawamuwezi amejipanga
Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama.
CCM inawakikishia wanachama na watanzania kuwa hatua kali za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya wote ambao wanatumia nafasi hiyo kusukuma ajenda zao binafsi, kwa mujibu wa Katiba, kanuni za maadili na uongozi za CCM
Kauli hii ya CCM imetokana na kauli kinzani zinazotolewa na baadhi ya makada wake katika masuala ambayo Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT amekwishayatolea maelekezo ikiwemo suala la tozo na COVID-19
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi.
Ni kweli Gwajiboy akiitwa chamani atawashinda kwa hoja kutokana na jukwaa alilotumia,hapo labda watumie nguvu ya usalama kumtishaWaanze na Job. Gwajiboy alionge Kama Mchungaji na si Mbunge. Hata hivyo watanzania wengi hawako tayari kuchanjwa.
Nimeona arguments za wanasiasa wanaompinga Gwajiboy, wote utaona wanashambulia personality yake. Hakuna hata mmoja anayetoa utetezi wa kisayansi kupinga mtazamo wa Gwajiboy. Kwa kuwa tangu Disemba 2020 Chanjo ya corona ilianza kutolewa sehem mbalimbali duniani, Basi watetezi wa Chanjo waje na Epidermilogical evidence on the efficacy and efficiency ya Chanjo hizo. Hali ikoje kwenye hizo nje zenye Chanjo? Kabla na baada ya Chanjo.Ni kweli Gwajiboy akiitwa chamani atawashinda kwa hoja kutokana na jukwaa alilotumia,hapo labda watumie nguvu ya usalama kumtisha
Kusema ukweli sielewi kwanini watanzania hawajui maana ya democracy...Mbona kwenye imani imewezekana na kila mtu anaamini yake ila sheria za nchi zinatuleta pamoja? Chanjo imefuata hiyo hiyo njia na Rais na tume walishaiweka vizuri kwamba mwenye kutaka chanjo ipo na at hos or her own risk...Sasa haya mambo ya huyu kumbandika jina mara huyu naye kutaka kulazimisha wengine yanatoka wapi?Tupo VITANI....
Tupo mapambanoni dhidi ya UVIKO.....
Ingalikuwa askofu Gwajima amefanya TAFITI ZA KISAYANSI na kugundua HIZO SUMU ZILIZOKO NDANI YA CHANJO DHIDI YA UVIKO AMBAYO SERIKALI INAJUA NA INATAKA TU KUWADHURU WATANZANIA....ningemuunga mkono.....
Ila kutumia tu "conspiracy theories" na kuongozwa na misimamo ya kiimani kuwashajiisha watanzania WAIKATAE CHANJO HII na kuwabandika MAJINA MABAYA wote wanaoiunga mkono...na kutaka WENGINE WACHANJWE kuwa ni "MAKUWADI NA WALIONUNULIWA NA MABEBERU" ni kuikosea JAMII YA KISTAARABU inayotaka majibu kwa maswali magumu.....
Hakuishia hapo ,aliwaombea LAANA YA KIFO MADAKTARI WOTE(WIZARA YA AFYA) wanaoiunga chanjo mkono na wanaotaka wengine wachanjwe...
This is UNFAIR and TOTALLY TERRIBLE.......
#ChanjoNiMuhimu
#TujitokezeKuchanjwa
#NchiKwanza
#KaziIendelee