CCM, Tumeshampata Rais, sasa mtuwekee wazi gharama za kuchukua fomu za ubunge na udiwani nchi nzima watu wajipange!

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,373
6,756
Maana kulijitokeza malalamiko ya gharama kubadilika badilika kama hali ya hewa kwenye uchaguzi uliopita.
Wekeni standardized amount ili wa kudunduliza waanze kudunduliza kiasi kitachotakiwa!
 
Chukueni hazina maana kule hamhitaji hata risiti
 
Back
Top Bottom