Wakuu habari za muda,
Mimi kama mwana CCM nimefikiria sana kuhusu yaliyotokea bungeni.Kwa mtazamo wangu tunaongeza ushindani uchaguzi ujao kwa majimbo ya Mwanza mjini. Hawa jamaa wangeenda huko EALA nafikiri tungepunguza ushindani kiasi flani kwa uchaguzi mkuu ujao kwa Mwanza mjini.
Ila sawa sisi kama wanachama wa kawaida hutujui ni kipi kimetokea huko bungeni. Kila la heri