CCM tufanye kampeni za nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu

k
Katika uchaguzi wa kinondoni tusitegemee siasa za majukwaani, tufanye siasa za nyumba kwa nyumba kila mtaa na ubalozi upite mlango kwa mlango wakihimiza watu kupiga kura, pia gaweni commitment form kila mtu ajaze anatarajia nini kutoka kwa mbunge wake ili kujua nini hasa hitaji la wana kinondoni, unaweza dhani shida yao ni barabara kumbe shida yao ni usumbufu wa vibaka, ukosefu wa soko na kukosekana maegesho ya bodaboda,
huyu akija kwangu atgakiona cha mtemakuni anatutia hasara alikataa ubunge sasa anaomba ubunge mapesa haya yote ni sababu ya ubinafsi wa ccm akienda kwa wananchi anawaambia nini watza tumekuwa wapole ndo maana mnatuchezea aje nyumba za wazaleondo akione cha mtemakuni mbu.zi mawe
 
Haikuwa rahisi kuwatumikia wananchi kupitia CUF, ukishirikiana na lipumba maalim anakufukuza ukishirikiana na Maalim lipumba anakufukuza, ccm ndio mahala pake tayari pesa zipo ni kiasi cha kuelekeza ziende pale au kule,

salum hajui shida za kinondoni hajui desturi za wana kinondoni hawezi kuwaletea maendeleo
Huu ni utetezi wa kipuuzi kabisa! Mimi kama mpiga kura hujanishawishi kuipigia kura ccm
 
mie sishauri kampeni hizo maana mnaweza kujikuta mnachezea kichapo cha maana kila mnapoenda.....ukweli ni kuwa ccm hampendwi ndio maana hata spika wenu watu wengi badala wamuombee apone haraka, watu wanashukuru na kusema bora akakutane na Muumba wake tu.......jipimeni
 
Mtulia hajawahi kuukataa ubunge bali chama ambapo kwa mujibu wa katiba ILIMLAZIMU kuacha ubunge,kwa kuwa ana unfinished business he has to finish them up.

Mtulia amesema hautaki ubunge akatangaza kuachia ngazi rasmi.

kwanini leo CCM mnataka tena awe mbunge??

Huyu mtabaki naye mnywe naye chai hapo Lumumba, Kinondoni hawataki wapuuzi.
 
Back
Top Bottom