CCM tuambieni ukweli; 2025 mnatamani wabunge wa upinzani wawepo Bungeni au muendelee hivyo hivyo?

Wakuu kinachoendelea bungeni Ni kituko.

Yaani Bunge limepoa wananchi wamelisusia mazima hakuna mtu mwenye time na hilo Bunge.

Ndugai nae kaona hiyo hali sahivi amejifanya KUB(kiongozi wa upinzani)

Tuliambiwa wapinzani walichelewesha maendeleoa,lakini hadi sahivi wananchi hawaoni ayo maendeleoa.

Kuna wabunge kina Msukuma na Kibajaji walipata umaarufa kwa kurusha vijembe kwa wapinzani sahivi hawana mtu wa kuwarushia vijembe maana hakuna upinzani Bungeni.

Bunge limedoda kwelikweli, CCM tuambieni mnatamani na 2025 muwe peke yenu au mmeshawamiss wapinzani wenu Bungeni
mi naona tuendelee hivyo hivyo
 
Bunge kwenye utawala wa Kikwete lilivutia, mijadala LIVE hoja kwa hoja, unapenda tu kufuatilia, lakini miaka sita hii, ni UGORO mtupu, paka spika amejigeuza mkuu wa kambi ya upinzani kwa kuifokea serikali! Umuhimu wa kambi ya upinzani Sasa ameuona!
Ilikuwa miaka ya Shetani
 
Pambanieni kupata wabunge kwenye uchaguzi, acha porojo za kuwauliza ccm na kutaka wawaonee huruma. Dada Aida mbona yuko huko anapambana? Kama unadhani ccm watawaonea huruma na kuwaachia mpite bila kupingwa basi imekula kwako!
 
Back
Top Bottom