CCM, tuambieni mnaowaita mabeberu, wanapendelea wapinzani au wako neutral?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,998
144,339
Jamani hawa watu mnawaelewaje?

Leo wazungu wamegeuka malaika?

Leo hii mabeberu wamekuwa fair?

Na je,kesho wazungu wakija na tamko la kulaani yanayoendelea hapa nchini, mtawaita tena ni mabeberu?

Je, si hawa walisema ziara ya Lissu inafadhiliwa na mabeberu?

Imekuwaje hao wanaomfadhili Lissu leo hii wawe fair katika kumuhoji Lissu?

Alafu kama mnaamini mahijioano yamekuwa fair, mbona bado roho zinawauma kwa Lissu kuendelea na ziara yake huko Ulaya?

Nyie watu mbona mko kama popo?!
 
Wape taarifa kwamba ndio kwanza ngoma imeanza .
 
Muzungu anamuogopa JPM hata msemeje ila haiondoi ukweli kuwa ni beberu, na kazi za beberu mnazijua, ni kutia mimba tu ukizubaa. Play cautious
 
Tatizo mnaiga fani za watu bila kuuliza halafu mbaya zaidi mnachemka mbaya
Hizi ni propaganda zetu mbona sasa mnatumia nguvu nyingi kutaka Lissu arudi kama hamna hofu na hizo interview?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Muzungu anamuogopa JPM hata msemeje ila haiondoi ukweli kuwa ni beberu, na kazi za beberu mnazijua, ni kutia mimba tu ukizubaa. Play cautious
nitajie faida 3 tu za uongo ulizozipata tangu uanze kuongopea watu .
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Binafsi sijasikiliza hayo mahojiano, ila kwa kusoma comments za watu wa pande zote, naamini ile propaganda yao ya kusema Lissu anatumiwa na wazungu sasa imekufa kifo cha mende.

Nitasikiliza baadae kwenye simu yangu nyingine.
Wewe unafikiria wana akili moja? Katika wazungu wengine ni wema wengine ni mabeberu hasa, sasa mchezo ulivyo mabeberu yamempa Lisu road map na kumfacilitate ili akasimame mwenyewe huko kwenye show, sasa kule kakuta mzungu fair, ukitaka kubebwa bebeka basi, Lisu kwa papara zake hata hao mabeberu aatamwaga tu.
 
Mwenyekiti
nitajie faida 3 tu za uongo ulizozipata tangu uanze kuongopea watu .
Mwenyekiti Mbowe anaendeleaje mkuu? Mpeni moyo hayo majaribu atayashinda awe imara tu maana duniani wale unao kula na kunywa nao ndo wa kwanza kukusahau masahibu yakikupata
 
Wewe unafikiria wana akili moja? Katika wazungu wengine ni wema wengine ni mabeberu hasa, sasa mchezo ulivyo mabeberu yamempa Lisu road map na kumfacilitate ili akasimame mwenyewe huko kwenye show, sasa kule kakuta mzungu fair, ukitaka kubebwa bebeka basi, Lisu kwa papara zake hata hao mabeberu aatamwaga tu.
Nyie ni sawa na wachawi!!

Wajerumani wameshauri kidogo tu mmeanza kusema mababeru ila kesho wakiwapa msaada na picha mnapiga nao na Ikulu inatoa press release ya kusifu na kupongeza.

Lissu tumia mahojiano hayo kueleza ukweli ili dunia ijue ukweli wa kinachoendelea.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hizi ni propaganda zetu mbona sasa mnatumia nguvu nyingi kutaka Lissu arudi kama hamna hofu na hizo interview?
Ni raia mwenzetu mkuu tunampenda sana tu, tunataka tufike kanani pamoja, yule ni ndugu yetu so lazima tutumie effort ili mradi tu tuende nae
 
Nyie ni sawa na wachawi!!

Wajerumani wameshauri kidogo tu mmeanza kusema mababeru ila kesho wakiwapa msaada na picha mnapiga nao na Ikulu inatoa press release ya kusifu na kupongeza.

Lissu tumia mahojiano hayo kueleza ukweli ili dunia ijue ukweli wa kinachoendelea.
Hatuna rafiki au adui wa kudumu, tunaangalia maslahi ya taifa kwanza. Wewe kaa ukingo wa MTO uangalie tu mambo yatakavyoenda
 
Kijani uelewa mdogo sana,technique aliyoitumia steven sacur kumbana lissu wanapongezana hawajui mipango ilivyopangwa,ujue ziara bado zinaendelea muda si mrefu kijani wataanza mabeberuuu,mabeberu kwa hiyo kwa kuwa lissu Leo kabanwa na mtangazaji kwahiyo hatumiki nao mbona hawajamtumia Leo.
 
Maslahi ya Taifa au masilahi ya CCM?

Mngekuwa mnaangalia masilahi ya Taifa leo hii mmngepuuza watu wasiojulikana au mngemuhoji CAG kwa kuongelea udhaifu wa Bunge?
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Kijani uelewa mdogo sana,technique aliyoitumia steven sacur kumbana lissu wanapongezana hawajui mipango ilivyopangwa,ujue ziara bado zinaendelea muda si mrefu kijani wataanza mabeberuuu,mabeberu kwa hiyo kwa kuwa lissu Leo kabanwa na mtangazaji kwahiyo hatumiki nao mbona hawajamtumia Leo.
Wameumbuka sana hawa wanafiki!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom