Kifo cha chademaNimepita makao makuu ya CCM DODOMA, kuna mziki mkubwa unapgwa na wanaccm wanacheza huku wakiwa wamevalia mavazi yao ya chama, lakini nimeshindwa kujua kinacho endelea. Tunaomba mtujunze munasherekea nini wenzetu?
Kifo cha chadema