CCM tuambieni hawa ni mashabiki au wana shughuli maalum mikutanoni?

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
Mashabiki wa ccm wakiwa katika moja ya mikutano ya kampeni igunga. mbona wanaonekana kama w/jadi?
 

Attachments

  • IMG_0665.JPG
    IMG_0665.JPG
    55.3 KB · Views: 476
hawa ndiyo wenye chama hasa siyo kama akina Nape wanao babaisha watu hatu kuzindua kampeni haendi sijui anaeza itikadi gani na wapi
 
hawa ndiyo wenye chama hasa siyo kama akina Nape wanao babaisha watu hatu kuzindua kampeni haendi sijui anaeza itikadi gani na wapi
 
hawa ndiyo wenye chama hasa siyo kama akina Nape wanao babaisha watu hatu kuzindua kampeni haendi sijui anaeza itikadi gani na wapi
Hilo suala la nape kutohudhuria ufunguzi liko ivi...rostam alisema ccm wamwambie aidha yeye ahudhuria au nape ahudhurie na siyo wote kwa pamoja. kutokana na ccm kuwa ktk hali ngumu na kumhitaji sana rostam wakati huu, ilibidi wampige stop nape kwenda kwenye kampeni igunga kuzindua....
 
wana mambo mengi mno, yaani kwao uchawi c wakutafuta, ni kufikia. mmesahau ya Chenge kuweka ndumba kwenye mic ya mh. mjengoni? ushahidi wa picha ulionekana lakini mpaka sasa hakuna hatua japo ya kinidhamu ilichukuliwa dhidi yake.

wanajuana sana hao
 
hapo walipo kwa ushirikina wao wanajiona hawaonekani wala nini
kumbe mganga leo kawapaka majivu
 
mpaka hapo sijaona tatizo. Ni wasanii wa kikundi cha utamaduni cha uhamasishaji. Natika kampeni huwa tunaona hao wacheza ngoma nakadhalika
mashabiki wa ccm wakiwa katika moja ya mikutano ya kampeni igunga. Mbona wanaonekana kama w/jadi?
 


Magambassss!!!! Yaone kwanza!!
Hawa mazoka ndio source ya kuturudisha nyuma hapo wamepewa tshirt tu ili watoe kura bure hata wawekzaji uchwara wakija hii mijitu ndio ya kwanza kutolewa maeneo yao na bado inachekelea magamba
 
Back
Top Bottom