Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 350
Ujasusi wenu I don't care, We don't care we are ready to go. Fungueni njia na mjifunze kuachia madaraka katika hali amani na utulivu. Msipo fanya hivyo kwa uchu wa madaraka mlio nao mtaiingiza nchi katika machafuko. Ambao itawafanya wengi wenu kutafuta hifadhi ya ukimbizi kimsingi msipende mfikio hapo kwani mabadiliko lazima yawepo na siyo ombi.
Mnakumbuka CCM ilikuwa ina kiongozi wake wa propoganda Tabwe hiza baadae wakakifuta hiki cheo. Tabwe propoganda zake zilikuwa za kutumia mdomo, kubwabwaja bwabwaja.
Kwa sasa CCM wapo kisayansi zaidi. Na hii kazi waliyo nayo anaiweza msomali zaidi. Nani asiyejua wasomali ni watu wa namna gani.
Napenda kuwaambia CCM, andaeni risasi za moto kwani amta weza kuua wote wakati kila mtu ana hari ya mageuzi.
Alafu msijifanye na nyinyi wakoloni mpaka tubembelezane ndio muondoke. Someni alama za nyakati. Mwana CCM ukiwa mbishi basi wewe ni chizi.
Wananchi tunataka mabadiliko aijalishi kitu gani. Nyinyi kila idara imewashida toka nchi inapata uhuru sasa mmekuja kivingine kutoa makucha, meno na sasa mmeanza na jicho. Tunategemea kutolewa roho na nyinyi wana wa hizaha. Ila mageuzi ya utawala lazima. Kila kijana, watu wazima tupo katika itikadi ya mageuzi. Nia yetu kubwa ni kuwatoa nyinyi ambao toka uhuru hamna la maana mlililifanya zaidi ya ufisadi papa mlio nao na ufinyu wa mawazo pia kukosa ujasiri, uzalendo wa kuwajibishana. Sera yenu kubwa ni ya kulindana.
Shame on all CCM members