CCM toeni elimu kwa viwavi wenu mliowatuma hapa jamvini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM toeni elimu kwa viwavi wenu mliowatuma hapa jamvini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Albedo, May 4, 2011.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kiliunda tume ya Iliyoongozwa na Bwana Wilson Mukama katika kutafuta sababu hasa ya CCM kuchukiwa na Wananchi hasa Vijana.

  Kwa Mujibu wa Bwana Mukama ni kwamba Tume hiyo ilifanya Kazi Kisayansi na moja kati ya Scientific Findings zao ni kwamba Mtandao wa Jamiiforums unamilikiwa na CHADEMA.

  Bwana Mukama alienda mbali na kupendekeza kwamba CCM nayo ianze kutumia social media ili iweze kupendwa na Vijana. Vile vile Bwana Mukama alipendekeza CCM ijivue Magamba yaani badala ya kufahamika kama Chama Cha Mapinduzi sasa Kijiite Chama Cha Magamba ( Wao what a wonderful creativity)

  Tokea Bwana Mukama atoe ripoti yake ya Kisayansi, kumetokea Wimbi kubwa sana la Watu wanajiunga Jamiiforums na Kuimba wa Magamba Magamba

  Nilikuwa na Pendekezo Moja kwa Bwana Mukama

  Kazi mliyowapa Vijana wenu hapa JF ni Ngumu sana, yaani Badala ya kuwasaidia kuokoa Jahazi wao wanalizamisha kabisa.

  Nawashauri mngewapeleka Vijana wenu mliowatuma hapa Ngurdoto kwa Semina Elekezi juu ya Namna nzuri ya Kujibu hoja na kuacha Uongo.

  La sivyo hata mkianzisha CCMForums baada ya Muda Mtaikimbia na mtaanza kulalamika kwamba inamilikiwa na CHADEMA maana ninyi kila anayewapinga basi ni CHADEMA
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Chama Cha Magamba kimefulia, kweli mfa maji haishi kutapatapa
   
 3. h

  hoyce JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kosa lao ni kudhani uongo haujulikani, tarehe zakujiunga zinawastaki, na malengo yenu ya kunasa vijana hapa, au kuishushia heshima JF,ionekana ni ya uongo na watu wasio makini hayatimia.
   
 4. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Natamani kweli kweli Waanzishe CCMForums nikawashukue huko huko
   
 5. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,842
  Likes Received: 11,962
  Trophy Points: 280
  Umenifurahisha sana hapo,
  Tatizo la CCM ni kutojifunza mbinu mpya bado wanafikiri kushinda vita lazima uwe na jeshi kubwa la wanajeshi laki 9 wenye rifle kama hawa viwavijeshi.
   
 6. fige

  fige JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  well said siku zote penye ukweli uongo hujitenga.

  Wanalaumu cdm wakati ukweli ni kwamba asilimia 80 ya watz hawana vyama, na sababu kubwa ni kwamba chama kimoja walichokuwa nacho kimegeuka cha mafisadi.mbaya zaidi na viongozi wao wamekiri hivyo.

  Kama cdm kimekuwa kimbilio ni kwa vile watu wantafuta mahali pa kutolea dukuduku zao.
   
 7. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mweshimiwa sikuwapinga ukisema ukweli kwa makosa wayatendayo unakuwa adui
   
 8. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35

  MUHAMMAD ALI :

  I never thought of losing, but

  now that it' s happened,

  the only thing is to do it right.
  That's my obligation to

  all the people who believe in me.
  We all have to take defeats in life.

   
 9. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kwa Kifupi ni Kwamba CCM kama Chama Hakipendwi tena hata Aje Obama kuwa Mwenyekiti.

  CCM Haipendeki,
  CCM Haitakatiki
  Vijana Ndani ya CCM wamechoka kufikiri kwa Sababu walishazoea Vya Kunyonga sasa vya kuchinja hawaviwezi
  Ill Discoverers kama Mukama na Msekwa ni Mzigo zaidi kwa CCM
  Kwa Chama kinachomtegemea Kingunge akipe Mawazo katika zama hizi za Sayansi na Technolojia Kimekufa

  Nakumbuka Zitto alisema CCM ni Chama Kinachokufa
   
 10. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hawana haja ya ccm forums waende kuiendeleza ze utamu itawasaidia sana huku wakipigwa jeki na tbc rai mtanzania dimba na itv
   
 11. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  This is CHEAP!
  Written by a cheap character,with a cheap line of thought.
  Cheaper than a two dollar ho!
   
 12. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,026
  Likes Received: 7,421
  Trophy Points: 280
  Jukwaa hili lililopo linatosha, Kwani hii hili jukwaa limeanzishwa mahsusi kwa ajili ya Chama gani?
  Acha tabia ya kuhodhi vitu ulivyovikuta mwaga hoja ili watu washindane katika hoja, siyo mambo ya subiri waondoke tuongee.
   
 13. M

  Mtafiti Makini Member

  #13
  May 5, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania wenzangu nawaombeni kuelewa kwamba mabadiliko kwasasa ktk siasa, uchumi na utawala HAYAKWEPEKI NA NI YA LAZIMA.

  Tusiendelee kukubali kudanganywa tena kwa miaka mingi ijayo huku tukiwa tumeshadanganywa miaka takribani 50 iliyopita. Tusidanganywe na majibu rahisi ya CCM kujivua gamba. Je, sumu ya gamba mtaiondoa lini?

  Kuhusu kujivua gamba kwa CCM hakuna kitu kipya kwani dhamira ya dhati na utashi wa kisiasa havipo kabisa.
   
 14. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Unajua bora kukaa kimya mtu hatajua ujinga wako,lakini unapoonge unadhihirisha jinsi ulivyo mjinga,kawa ccm ni bora wakae kimya maana kila wanachoonge ni pumba tupu,wawaache watz wajiamulie mambo yao kama hawaitaki ccm wasiwalazimishe watu,wapotelee mbali na chama chao kilichoishiwa sera
   
 15. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,187
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwani si kweli ? Tatizo ni kuwa ukweli una tabia moja ya kutokubali kuzikwa huku unashuhudia kama ule ugonjwa unaoitafuna Chama cha Magamba, NAMBULILA ! Viwavi hivyo vimethubutu kuingia humu na kujaribu kuchakachua hadi maana halisi ya kuvua gamba lakini havikuweza kufika popote maana hapa JF koleo huitwa kwa jina lake. Nyoka hujivua gamba kuanzia kichwani !

  Chama Cha Magamba.jpg
  snakeskin-1.jpg


  CCM ikitaka kujivua gamba isitafute njia za mkato hata kama ina woga wa kupata majeraha kama ya nyoka aliyezeeka - na CCM imezeeka kweli kweli !
   
 16. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Unajua bora kukaa kimya mtu hatajua ujinga wako,lakini unapoonge unadhihirisha jinsi ulivyo mjinga,kawa ccm ni bora wakae kimya maana kila wanachoonge ni pumba tupu,wawaache watz wajiamulie mambo yao kama hawaitaki ccm wasiwalazimishe watu,wapotelee mbali na chama chao kilichoishiwa sera
   
 17. n

  niweze JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Thanks Mkuu kwa ushahuri kwa magamba ya ccm. Sijui kama watauchukua, tatizo ni kwamba kama huna uzalendo na upendi wananchi wanzeko ni vigumu sana hata kujiangalia kwenye kioo na kuona una kinyesi usoni. So sad to see lost generation like these...

  [​IMG]
   
 18. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #18
  May 5, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  Boya/zuzu mmoja anasema cheap! Mtu mmoja kakibeba chama juujuu,anatoa matamko anayojisikia,anajilipa akitaka(bil 94) sasa nani cheap? Unatumwa kijingajinga tu.
   
 19. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  When you argue on hearsay(maneno ya wasukuma mikokoteni) would you expect any great thinker or simply a thinking man to compliment you?.
  This type of presentation is what makes this thread CHEAP,your comments included.
   
 20. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #20
  May 5, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,563
  Likes Received: 4,686
  Trophy Points: 280
  Tatizo la CCM ni unafiki na mawazo mgando.

  Hivi kama siyo kuchakachua kura uchaguzi 2010 ni mamilioni mangapi ya wapiga kura waliikataa CCM? Je watu hawa wanaingia JF? Wanatafuta majibu mepesi kwa maswali magumu.

  CDM haifanyii siasa zake JF, CDM inawafuata wananchi huko waliko eg op. Sangara, twanga kote kote, washa taa mchana, wamekamata vyuo vya elimu ya juu nk.CCM hamna ubunifu mmekalia wizi wa kura na ufisadi tu.

  Jaribuni kuelewa dhana nzima ya PEOPLES POWER.
   
Loading...