CCM - The Master Magician - na wale wanaosubiri kushangilia!!!

2015 mwisho wao.
ndivyo unadhani eh!!!?

Umeshajiuliza kwa rate ya 35% hilo deni la taifa litakuwa Tsh (US $) ngapi by then??? Acha utani mkuu, usilete mambo ya mtu ambaye kazimia kwa kukatwa mapanga alafu anafikishwa hospitali wanadai PF3 kwanza, 2015 ni mbali mno na acha ujinga na woga wetu tu ndio utufikishe uko lakini sio akili zetu

 
exactly!!! wakikuambia jinsi walivyofanya haitakuwa magic! Remember macho yanadanganyika kirahisi zaidi kuliko kitu kingine chochote!
Mzee Mwanakijiji and Azimio Jipya, I am sure mtu ukiwa makini na ukitaka kuelewa ni kitu gani kinaendelea utaweza tu. One has to be highly critical, hasa kama unajua kua unao deal nao ni confirmed wanamazingaombwe. :)
 
Last edited by a moderator:
Wazungu bwana acha waendelee, nakumbuka mwakajana mwanzoni waziri mkuu wa Ireland ya Kaskazini alijiuzulu nafasi yake kwa kuwa maji hayakutoka ktk mitaa ya mji mkuu wa Belfast, mie nina mwaka wa 12 hapa Kinondoni sijawahi hata kuhadithiwa kuhusu maji ya bomba yalitoka mwaka Gani? Au kupishana na watoa huduma hiyo. Lkn tunasonga na huwa ninakenua meno mpaka mwisho kuonesha nafurahia maisha, kweli nimelogwa na haya mazingaombwe na uchawi nyumbani kwake ni TZ
 
Watu wamekaa huku pumzi zimewaisha wakisubiria the next act... atamkata mtu katikati au hatomkata kweli...wanasubiri mioyo ikiwadunda!!! Mbele ya macho yao wanaona kweli mtu kapitishiwa msumeno...

kwel haya mazingaombe nadhan itabid kukata limao au kugeuza shat au viatu ili apate kaz ya ziada kumrudisha baada ya kukata kwa msumeno
 
Mwanzoni sikukuelewa. Nilipoangalau hiyo Magic Trick nikakupata. Wanavua ngozi ya juu lakini watu ni walewale, Wanatubadilishia majina tu, lakini ni walewale. Mfano baada ya Karamagi na Msabaha si ndo akaingia huyu Fisadi Ngereja n.k. Sasa nakubaliana na Falsafa ya CCM ya kujivua Gamba; maana gamba kutoka halipunguzi ukali wa sumu, bali ndo inaonyesha ukomavu na ukali wa sumu yenyewe.
 
Mazingaombwe niliyoyaona mimi bungeni ni yale ya posho!
Ilani ya uchaguzi ya CDM ilizungumzia kupunguza posho za viongozi. Ila jamaa wanakula posho, huku watu wakishangilia kana kwamba hawali posho!!
Wooow!! now thats what we call magic!! How did they do that?

 
Last edited by a moderator:
Mzee Mwanakijiji and Azimio Jipya, I am sure mtu ukiwa makini na ukitaka kuelewa ni kitu gani kinaendelea utaweza tu. One has to be highly critical, hasa kama unajua kua unao deal nao ni confirmed wanamazingaombwe. :)
RussianRoulette , umesema ukiwa makini na ukitaka kuelewa utaweza tu! Sasa mimi nataka nikupe taarifa. Nchi ina watu zaidi ya milioni 40 kiasi ambacho wanaona kinachotokea na kugundua kuwa ni mazingaubwe kitaalaum tunajua kuwa ni kama 20% tu!! Na ni kama wakitaka ...The rest wanachukulia kuwa kinachotokea ni reality ...!! Na Viongozi wetu wanahakika ya ushindi wa hao 80% ... Mimi na wewe tuna ujanja gani wa kuwshtua na kuwazindua ... waliolala usingizi wa kimazingaubwe? ... Mind you ..wengi ni wasomi wakubwa!!?.. lakini mazinagubwe kwao ni reality??
 
Last edited by a moderator:
Mwanzoni sikukuelewa. Nilipoangalau hiyo Magic Trick nikakupata. Wanavua ngozi ya juu lakini watu ni walewale, Wanatubadilishia majina tu, lakini ni walewale. Mfano baada ya Karamagi na Msabaha si ndo akaingia huyu Fisadi Ngereja n.k. Sasa nakubaliana na Falsafa ya CCM ya kujivua Gamba; maana gamba kutoka halipunguzi ukali wa sumu, bali ndo inaonyesha ukomavu na ukali wa sumu yenyewe.
Mlingwa, naona sasa unaaza kushtukia tatizo la msingi la jamii yetu!

Kwanini watu wazima na akili zao timamu wanachukulia mambo ya kimanzangaubwe ni kweli na hakika?
 
haya ni zaidi ya mazingaombwe.....
Ni mauzauza ya aina yake...

Mkuu BADILI TABIA, Najua utatusadia dawa ya tatizo hili uliloligundua kuwa zaidi ya mazingaubwe!

Ukimkuta raiki yako ghafala anaaza kuweweseka na kuiona dunia ya kimazingubwe kuwa ndio dunia ya kweli hata kama wewe umejaliwa kuwa prezidaa ... kweli utamfanya waziri mkuu?
 
Last edited by a moderator:
hapa hakuna mazingaombwe ya 'aina yake'
ni yale yale ya siku zote....mazingaombwe too common...
cha ajabu yana washabiki bado

Unajua akili zetu tunavyozitumia matters alot. CCM hii haina jipya maana siku za hivi karibuni imepata na kuchagua makada na viongozi wake kwa njia batili batili. Leo hii nani ndani ya ccm anaweza kuwa na dawa ya kutibu majeraha yanayowasibu? Mkapa? Mhh jamaa wamechoka na sio wakuaminiwa tena. Wenye masikio watasikia
 
Mwanakijiji una umri gani? Thread zako zinahitaji kufikiria ili upate maana nahisi utakuwa mdingi sana tena mdingi wa nasaha
Precise pangolin, subiri mwanakijiji anakuja atakujibu ... Lakini na wewe umeupata wapi uwezo wa kuwagundua watu wenye nasaha? Na wewe ni dingi? Kama vipi basi ... Unafikiri Jumatatu Mtoto wa mkulima atakuja na story gani? Ya kimazingaumbwe au ya kiukweli?
 
Back
Top Bottom