CCM tawi la mitandaoni watoa pongezi kwa Lissu na CHADEMA

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Nikiwa kama mwanaccm, viongozi Wa ccm tawi LA mitandaoni wanapaswa kujiuzulu kwa kutoa pongezi kwa mshindi Wa TLS kwani wamekisaliti chama. Magufli naomba uingilie kati katika hili
FB_IMG_1489848094410.jpg
 
Hata Wabunge wa MACCM walioenda kumpa pole Kamanda Lema alipokuwa rumande na nyumbani kwake baada ya kutoka wote ni wasaliti hivyo wajiuzulu haraka sana na kurudisha kadi za chama.
Duuhh! Kweli nouma
 
Back
Top Bottom