CCM - Tarime wamkataa Mkuu ws Wilaya

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
887
0
Mwenyekiti wa CCM Tarime atoa tamko kwa niaba ya wana CCM wote kuwa hawamtaki DC huyo kwakua atawasababishia CCM washindwe katika chaguzi za mitaa mwisho wa mwaka huu kwakua ana wanyanyasa wananchi sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom