CCM Tarime wameanda ziara ya N/W TAMISEMI, Waitara na M/kiti UVCCM-Taifa, Kheri James baada ya kusikia Esther Matiko atapokelewa Kifalme

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
CCM Tarime wameanda ziara ya N/W TAMISEMI, Waitara na M/kiti UVCCM-Taifa, Kheri James baada ya kusikia Esther Matiko atapokelewa ijumaa (jana) na kufanya mkutano wa hadhara ili anyimwe kibali; sababu? N/waziri ana mkutano. Esther kahairisha nao wamehairisha wanasubiri Jumapili
 
AMEAHIRISHA.
KAAHIRISHA.
WAMEAHIRISHA.
Watanzania tunakijua kiswahili na tunajivunia.
 
Back
Top Bottom