johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,780
- 141,667
Kwa uchungu na masikitiko makuu CCM imezipokea taarifa za mauaji ya mwenyekiti wa Uvccm vyuo vikuu mkoa wa Iringa komredi Mlelwa.
Polepole amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki za kisheria.
Rip Mlelwa
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu wa mkoa wa Njombe Injinia Marwa amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka kwa nguvu zote wauaji wa kiongozi wa UVCCM Mlelwa, tayari msako mkali umeanza.
RC Marwa amesema haijalishi kama wahusika ni watu binafsi au chama cha siasa wakipatikana watashughulikiwa kikamilifu.
Emmanuel Mlelwa amezikwa leo kijijini kwao huko Ludewa mkoani Njombe.
Rip Mlelwa
Chanzo: ITV habari
Siasa siyo Uadui