CCM Taifa ya JK ilivyoisambaratisha CCM Mbeya ili tu kumkabili Prof Mark Mwandosya.

Ha ha ha!
Jamaa ni noma kwa uongo.
Nafikiri yuko ile Department ya Mis information na Fitna.

Hahah jamaa amepewa mpaka na kitabu cha Mwandosya cha 'Sauti ya Umma ni sauti ya Demokrasia~Mchakato wa Uchaguzi wa CCM Mkoa wa Mbeya, 2007" ila bado anabisha tu.

Hio department ya Mis Information ni balaa mkuu,hahah

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wahuni waliweza kumtapeli Jaji Mkuu Mstaafu Na Bregadier Generali mstaafu

Mie siingi Mkataba wala makubaliano serious na wahuni

..vipi habari za JK kutishia kuhamia CDM ikiwa asingepitishwa kugombea uraisi?

..inasemekana Ditopile alishawasiliana na Mbowe kuwa awe tayari kuwapokea.
 
Umepewa facts kwa kuambiwa Prof Mwandosya alieleza kila kilichotokea kuhusiana na suala hilo katika kitabu alichokiandika yeye.(Sauti ya Umma ni sauti ya Demokrasia~Mchakato wa Uchaguzi wa CCM Mkoabwa Mbeya, 2007"),hii sio reference?

Then na wewe ulijibu nini baada ya kuambiwa?Zaidi ya kulala mbele na kusingizia huwezi kuendelea zaidi ku discuss kuhusiana na suala hilo.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Hivi reference inatumika ku challenge facts Au opinion?

Ukijua hilo Ubishi huu hauwezi kuwepo!

Kwenye comments yangu ya awali kuna Maeneo nimeweka facts Na Maeneo nimeweka opinion , wapi hakupo sahihi?

Nikisema Mwandosya alikuwa Waziri asie Na Wizara Maalum wakati wa Jk hiyo Ni facts haihitaji reference wala Wewe kukubali Au kukataa

Ila nikisema Jk na Mwandosya walikuwa marafiki hiyo Ni opinion Na unaweza ukakubali Au ukakataa kutegemea Na mtazamo wako

Mie naweza kusema ni marafiki kwa sababu kadhaa Na Wewe ukasema sio marafiki kwa sababu kadhaa ila nikisema Mwakyembe alikuwa Chairman wa Kamati ya Richmond iliyomtoa Lowassa hapo hatuhitaji reference wala Wewe kukubali

Nadhan sasa unaweza kurudi Kwenye mjadala
 
Kwenye comments yangu ya awali kuna Maeneo nimeweka facts Na Maeneo nimeweka facts , wapi hakupo sahihi?

Nikisema Mwandosya alikuwa Waziri asie Na Wizara Maalum wakati wa Jk hiyo Ni facts haihitaji reference wala Wewe kukubali Au kukataa

Ila nikisema Jk na Mwandosya walikuwa marafiki hiyo Ni opinion Na unaweza ukakubali Au ukakataa kutegemea Na mtazamo wako

Mie naweza kusema ni marafiki kwa sababu kadhaa Na Wewe ukasema sio marafiki kwa sababu kadhaa ila nikisema Mwakyembe alikuwa Chairman wa Kamati ya Richmond iliyomtoa Lowassa hapo hatuhitaji reference wala Wewe kukubali

Nadhan sasa unaweza kurudi Kwenye mjadala
Mkuu unatisha kwa spinning, lakini damage yenu tumeiona.
Hongereni , na uridhike basi usitake tuamini matango pori ya kale.
 
Hivi reference inatumika ku challenge facts Au opinion?

Ukijua hilo Ubishi huu hauwezi kuwepo!

Kwenye comments yangu ya awali kuna Maeneo nimeweka facts Na Maeneo nimeweka opinion , wapi hakupo sahihi?

Nikisema Mwandosya alikuwa Waziri asie Na Wizara Maalum wakati wa Jk hiyo Ni facts haihitaji reference wala Wewe kukubali Au kukataa

Ila nikisema Jk na Mwandosya walikuwa marafiki hiyo Ni opinion Na unaweza ukakubali Au ukakataa kutegemea Na mtazamo wako

Mie naweza kusema ni marafiki kwa sababu kadhaa Na Wewe ukasema sio marafiki kwa sababu kadhaa ila nikisema Mwakyembe alikuwa Chairman wa Kamati ya Richmond iliyomtoa Lowassa hapo hatuhitaji reference wala Wewe kukubali

Nadhan sasa unaweza kurudi Kwenye mjadala
Kama ilivyo kazi yako ya ku Mis Inform, sasa you are side stepping the issue.
Issue hapa ni uhusika wa JK na CCM Taifa kuisambaratisha CCM Mkoa wa Mbeya kwa kuingiza fitna, ukabila na kuondoa maelewanonkatibyabwanachama.

Kesho nitakuletea quotes za vitu vilivyotokea kwa Mkuu wa Mkoa Mwakapesile kuagizwa ile kitu iliitwa"Operation Ondoa Mwandosya Mbeya".

Leo wananchi tunapata taabu kutokana na kukosa umoja ndani ya CCM.
 
Ndio maana nimewapa Darsa la tofauti ya opinion Na facts

Mwandosya alikuwa Kwenye cabinet ya

Vurugu Na Migogoro ngazi ya Mkoa CCM ilikuwepo Mikoa mingi tu Na si Mbeya peke yake jee Kote huko kulikuwa sababu ya Mwandosya?

Arusha hapakukalika enzi Za Ole sendeka Na team Lowassa

Shinyanga hapakukalika enzi Za kina Lembeli Na Hamis Mgeja
Tabora enzi Za Sitta Na Kapuya

Tanga Shelukindo na Kina Mzee Makamba

Wakati wa Jk Migogoro ilikuwepo Mikoa mingi sio Mbeya peke yake

The same to Singida

Mara kule mpaka Wassira alimtia kichwa akamchana Mwenyekti Wa CCM Mkoa

Hii Migogoro ilikuwa Na Falsafa yake Na ndio sababu nikasema kuna Mengine hatutosema kuheshimu heshma Na Mahusiano ya watu
 
Sema tu, funguka!

Na huko kote alipelekwa Thomas Mwang'onda kumwondoa mtu!
Argument yako haina maana kwa vile demokrasia lazima iwepo , na si vitu vya kupanga kama ninavyotuhumu.

Huko unakotaja nako kulikuwa na "Operation Ondoa Mwandosya Mbeya"?
 
Mkuu inaelekea ulikuwa part of the dirty game.

Ukilalamikiwa, omba radhi ,jisahihishe usije ukafa watu wakiwa na donge na wewe.

Una generalise conflict ya kutengenezwa ndani ya CCM, to suit your own selfish ends.

Sasa jiulize una unafuu gani kabla na baada ya fitna zenu.

Mnatia kinyaa!
Mwalimu alimaliza kwa kusema, Kwa mwana TANU(CCM) ,FITNA KWANGU MWIKO.
 
Siasa Ni mchezo Mchafu Dunia nzima sio Tanzania Au Africa peke yake

Aliekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha Ulimwenguni alietaka kugombea Urais Ufaransa alitengenezewa Scandle ya Kubaka Mwanamke wa Kiafrica Dakika chache kabla hajaenda Ufaransa kuchukua form Na naada ya Uchaguzi Yule Mwanamke Mweusi akamuomba Radhi Na kashfa hiyo ilitengenezwa Na Rais Sarcozy

Hillary Clinton the same case Kwenye kashfa ya email binafsi

Kama hutaki kulowa usishiriki mashindano ya Kuogelea

Hata huyo Nyerere uliem quote kashiriki Sana Siasa chafu Za ndani Na nje ya Nchi
Kama watu watalipwa Siku ya Kiyama kwa kuchafuliwa majina yao Basi kina Oscar Kambona watakuwa ndio ma Bill gates
 
Mkuu thats a tacit admit of the allegations.
 
Sema tu, funguka!

Na huko kote alipelekwa Thomas Mwang'onda kumwondoa mtu!
Argument yako haina maana kwa vile demokrasia lazima iwepo , na si vitu vya kupanga kama ninavyotuhumu.

Huko unakotaja nako kulikuwa na "Operation Ondoa Mwandosya Mbeya"?
Kikwete kama raisi na mwenyekiti wa chama angekua na nia ya kummaliza Mwandosya kisiasa asingeshindwa. Katika kipindi cha JK Mwandosya alikaa india zaidi ya mwaka na bado akaendelea kua waziri angekua hampendi kwa kukaa kitandani zaidi ya mwaka ingekua turufu tosha kumuondoa kwenye serikali yake. Ni Jk huyo huyo aliyempa Mwandosya wizara isiyo na kazi maalum, akamteua kua mkuu wa chuo cha Must, akamteua kua mwenyekiti wa chuo cha diplomasia kivukoni vyeo vitatu kwa wakati mmoja! Yaani mtu mmoja ateuliwe vyeo vitatu kwa wakati mmoja wakatu kuna watanzania karibu million hamsini halafu utwambie kua aliyemteua kushika hvyo vyeo hampendi? Mkuu umekua uchambuzi mzuri sijui nini kimekusibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Magufuli anaweza kuirudisha CCM Mbeya kwa kumtumia vizuri Dr Tulia.
JK atakumbukwa kwa kuivuruga CCM Mbeya.
Kule Mbeya wengi wanamkubali sana JPM licha ya vijana wengi wenye fujo kama Sugu.
Sugu havutii maendeleo si tu Mbeya mjini bali hata mwangwi wake mkoani unatia kasoro mkoa.
Gwakisa, zzm inapendwa na vikongwe na vijana wenye upeo mfinyu kama wewe. Huu ni utafiti. So kama unataka kuupinga, fanya utafiti mwingine.

Vijana wa Mbeya wanajielewa saaana.
 
Kikwete kama raisi na mwenyekiti wa chama angekua na nia ya kummaliza Mwandosya kisiasa asingeshindwa. Katika kipindi cha JK Mwandosya alikaa india zaidi ya mwaka na bado akaendelea kua waziri angekua hampendi kwa kukaa kitandani zaidi ya mwaka ingekua turufu tosha kumuondoa kwenye serikali yake. Ni Jk huyo huyo aliyempa Mwandosya wizara isiyo na kazi maalum, akamteua kua mkuu wa chuo cha Must, akamteua kua mwenyekiti wa chuo cha diplomasia kivukoni vyeo vitatu kwa wakati mmoja! Yaani mtu mmoja ateuliwe vyeo vitatu kwa wakati mmoja wakatu kuna watanzania karibu million hamsini halafu utwambie kua aliyemteua kushika hvyo vyeo hampendi? Mkuu umekua uchambuzi mzuri sijui nini kimekusibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru umevitaja vyeo vyote akivyopewa Prof Mwandosya na Rais Jakaya Kikwete.

Mtu katumiwa mamluki wa kumuua kisiasa through mtoto wa aliyekuwa mkuu wa Usalama wa Taifa, nd Apson.

Hivi kwa akili yako hapo ulitegemea nini kama Thomas angeshinda?

Hata hivyo pamoja na Prof ku win the battle ya uNEC, he lost the war!

Kikwete alim mesmerise Prof kwa vyeo huku akijua kuwa amemmaliza kisiasa, he was no longer a threat.
Kumbuka tofauti zao zilianzia wizara ya Maji, Madini na Nishati.
 
Kuna watu mnaishi kwa hisia Sana

Mh. Mark Mwandosya alikuwa mmoja wa watu waluotumiwa Sana Mh. Kikwete Kwenye Mbio Za Urais 2005

Kuna Mengi ya kuandika lakin kuna watu tutakuwa tumewaanika Na si vizuri ku expose Siri Za watu bila ya sababu Za msingi but let me share with you some hints

1) Meneja wa Mark Mwandosya Kwenye Mbio Za Urais 2005 ndie aliekuja kumsambaratisha Lowassa 2007 Huyu Mtu anaitwa Dr Harrison Mwakyembe

2) Dakika Za majeruhi Za uchaguzi wa Mgombea Urais ngazi ya Chama uliofanya ka May 4, 2005 aliesaidia kutibua mbinu Chafu Za KAMBI ya Fredrick Sumaye iliyohamia kwa Dr Salim alietaka kuunganisha Makundi yote yawe upande wa Salim dhidi ya Jakaya alikuwa Ni Mzee Mwandsya Na kwa Hilo alisadia Sana Sana Na ndio maana Jakaya hakumuacha kipind chote Hata Cha ugonjwa akiwa Nyumbani Na matibabuni aliamua kumpa Uwaziri wa Wizara isiyo Na majukumu ( Ihsaan)

Mark Mwandosya alikuwa Mtu wa Karibu wa Jakaya Na Msiri wake wa Miaka yote

Kwenye Siasa kuna watu wanaweza kujitokeza kugombea Na Wewe nafasi Moja ila lengo Lao Ni kukusaida Na mbinu hiyo hufanywa Sana Pemba kusaidia Wagombea wa CUF

Naandika na kufuta kwa Kuwa Mengine hayaandikiki kwa Kuwa yataharibu uhusiano wa watu ambao mpaka leo wanaheshimiana Sana!

Mzee Mkapa alikuwa Songea Kwenye May Mosi ya 2005 Na Siku nne Baadae akawa anakuja Dodoma kusimamia Uchaguzi wa Mgombea Urais ndani ya Chama

Yaliyotokea ndani ya Siku hizi nne unaweza ukajaza kitabu lakin ndio imebaki Historia ila Fredrick Sumaye na Jakaya Ni Chui Na Paka Kuliko Jakaya Na Lowassa japo wengi hawatambui

Baada ya Jakaya Kuwa Rais ilibidi Sumaye 'akimbie' kwenda kusoma Marekani ili kucheki kasi ya Jakaya Kumbe Jakaya hakuwa Na time ya kulipiza Visasi vya kijinga Na Baada ya kuona Upepo umetulia akirudi kimya kimya

Mzee Mwandosya kilichomuathiri Kisaikolojia ni ile kuitwa Jumba jeupe June 2015 Na kuambiwa 'kachukue form Mengine niachie Mie ' Kumbe hiyo Kauli waliambiwa wengi akiwemo Mzee wetu Mzee Augustine Ramadhan.

Wahuni sio watu wazuri kabisa Na usijaribu kuingia Miadi Na wahuni
Dah nzi akitulia atatengeneza asali ....Huyu ndiye Pohamba nayemfahamu sema shida sasa ni pale unaporudia asili yako ya wacheza bao gerezani basi u chekibob mwingi kama muhuni mwenzio Jakaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gwakisa, zzm inapendwa na vikongwe na vijana wenye upeo mfinyu kama wewe. Huu ni utafiti. So kama unataka kuupinga, fanya utafiti mwingine.

Vijana wa Mbeya wanajielewa saaana.
Mnajielewa au siyo ?

Kujielewa kwenu mnaishia kukaa nyumba za matope, kupanda mabasi ya Rungwe Express na Majinja.
Mkipata ajali mnakufa kama mbuzi wa kafara!

Kiwanja cha ndege Songwe , ndege mwazisikia tu.

Mkifika Dsm mnafikia Keko na Mbagala, ndo zenu.
Masikini kimawazo nyie, halafu mwasema mnajielewa.

Safirini Mwanza na Arusha muelewe vijana wenzenu wanafanya nini.
 
Back
Top Bottom