CCM sio Civilized kihivyo hadi iachiwe nchi hivi:Hawajui tofauti Overthrow na hiyo Kilimo Kwanza.

Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,517
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,517 280
Naona watanzania mnajisahau sana mkadhani CCM wapo civilized kihivyo..Just because wana prefixes..km prof,dr. mhesimiswa, etc...

CCM hadi leo hawajui mapinduzi km mapinduzi ya Kijani(Sasa wanayaita kilimo kwanza ) na OVethrowing..kwao yote ni mapinduzi.

CCM hawajastaarabika kabisa na kila mtu atawasikia wakipiga kelele za kuua watu,vyama ,wakifanya kila kitu ku derail kila chema kinachohaatarisha hai wao.Macc hawajui kitu kujisahihisha na kuja na kitu bora,maCCM hawajui kukubali kosa ili waanza maisha mapya.Maccm hawajawahi weza vumilia aibu ingawa kila siku wanaogelea ktk aibu.

Sasa hata wale magamba ambao bado kuna sense fulani ya kusikia na kuweza tafsiri kwa asilimia hata 10 waanze amka nakutumia hi akili finyu.CCM iambiwe no..wakiamua mwaga damu basi watu wengi wasimame hadi wanajesh nao wasem tupo wachache na hatuwezi ua nchi nzima.Kwani tukiua nchi nzima tutamtawala nani?
 
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,936
Likes
1,604
Points
280
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,936 1,604 280
Tangu chama chenu kiingie mapepo leo ndiyo unajitokeza chadema kimekuwa ni sacos ya kukopeshana mzee slaa na mbowe wanatumia hela za chama wanavyotaka na kubadili katiba hovyo eti wawe viongozi wa milele.
 
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,936
Likes
1,604
Points
280
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,936 1,604 280
Naona watanzania mnajisahau sana mkadhani CCM wapo civilized kihivyo..Just because wana prefixes..km prof,dr. mhesimiswa, etc...

CCM hadi leo hawajui mapinduzi km mapinduzi ya Kijani(Sasa wanayaita kilimo kwanza ) na OVethrowing..kwao yote ni mapinduzi.

CCM hawajastaarabika kabisa na kila mtu atawasikia wakipiga kelele za kuua watu,vyama ,wakifanya kila kitu ku derail kila chema kinachohaatarisha hai wao.Macc hawajui kitu kujisahihisha na kuja na kitu bora,maCCM hawajui kukubali kosa ili waanza maisha mapya.Maccm hawajawahi weza vumilia aibu ingawa kila siku wanaogelea ktk aibu.

Sasa hata wale magamba ambao bado kuna sense fulani ya kusikia na kuweza tafsiri kwa asilimia hata 10 waanze amka nakutumia hi akili finyu.CCM iambiwe no..wakiamua mwaga damu basi watu wengi wasimame hadi wanajesh nao wasem tupo wachache na hatuwezi ua nchi nzima.Kwani tukiua nchi nzima tutamtawala nani?
Hakuna mtanzania atayeweza kupigia kura chama cha demokrasia machame chama cha kibaguzi leo zito anaonewa pasipo sababu kwa kuwa tu hatakano miongoni mwenu lakini bila zitto hakauna chadema.
 
J

jembe letu

Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
37
Likes
0
Points
0
J

jembe letu

Member
Joined Nov 29, 2013
37 0 0
Bora chadema wanakopeshana .kuliko nyie magamba mnaiba zote mnaamishia uswis
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,517
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,517 280
Hakuna mtanzania atayeweza kupigia kura chama cha demokrasia machame chama cha kibaguzi leo zito anaonewa pasipo sababu kwa kuwa tu hatakano miongoni mwenu lakini bila zitto hakauna chadema.
kwani wamachame ni nani hadi wasiwapigie....by the way.Mtawabadilia wasukuma,wanyamwezi, wahehe, wanyakyusa,waarusha, wameru, wamarangu etc kuwa wote ni wamachame..by the way Mtei anaweza pata kura nyingi nje ya sehemu yake ya Asili Moshi.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,517
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,517 280
CCm wa leo wa kushambulia CDM km pirates.wakati ni chama tawal.
 
Forum statistics

Threads 1,263,516
Members 485,918
Posts 30,154,783