Uchaguzi 2020 CCM si tulisema Magu hahitaji kampeni 2020? Chopa ya nini?

CCM tulimpamba mzee sana kuanzia bungeni na nje ya bunge, tukaenda mbali na kusema kuwa hahitaji kampeni 2020 bora hata uchaguzi usifanyike ili apite bila kupingwa, hizi kauli za kinafki ni za kumhujumu mgombea wetu kuanzia leo iwe mwisho. Kama kweli hatukuhitaji kampeni wala uchaguzi huo CHOPA ni ya nini? Gharama zote za Chopa za nini?

Natoa wito kwa wanaccm wote, tuache unafki wa kumpamba mzee wetu wakati tunajua kuwa hali ni ngumu na uwezekano wa kuzidiwa ni mkubwa sana. Tunamdanganya mzee wetu kuwa mambo ni shwari kwa manufaa ya nani? Tukishindwa wa kwanza kupata hasara ni nani kama siyo mimi na wewe?

Kwa bahati mbaya sana chama chetu makao makuu kwenye uongozi timu nzima ya kampeni ni wageni wa siasa za nchi hii, Dr Bashiru na Polepole wameingia kwenye siasa juzi juzi. Hapa ukimtoa mzee Mangula wengine wote waliobaki ni wa kuja watupu na ndio wanaokigharimu chama hawa. Sitaki kuwa mnafki huu ndio ukweli acha niseme tu.

Nipo kwenye timu ya kampeni ndiyo na tunatazamana hapa wacha niseme ukweli mwenye kununa anune, mkiambiwa ukweli mnakua wakali.

MAJI YA SHINGO
 
CCM wanapeleka mrejesho kwa wananchi juu ya kile wachotumwa mwaka 2015. Wanasherehekea mafanikio ndiyo maana sherehe zao zinaambatana na wasanii washereheshaji. Another 5yrs kwa JPM.
 
Attachments

  • Magufuli overpowerful.docx
    183.2 KB · Views: 5
  • Busu kwa Tundu Lissu.docx
    126 KB · Views: 5
CCM tulimpamba mzee sana kuanzia bungeni na nje ya bunge, tukaenda mbali na kusema kuwa hahitaji kampeni 2020 bora hata uchaguzi usifanyike ili apite bila kupingwa, hizi kauli za kinafki ni za kumhujumu mgombea wetu kuanzia leo iwe mwisho. Kama kweli hatukuhitaji kampeni wala uchaguzi huo CHOPA ni ya nini? Gharama zote za Chopa za nini?

Natoa wito kwa wanaccm wote, tuache unafki wa kumpamba mzee wetu wakati tunajua kuwa hali ni ngumu na uwezekano wa kuzidiwa ni mkubwa sana. Tunamdanganya mzee wetu kuwa mambo ni shwari kwa manufaa ya nani? Tukishindwa wa kwanza kupata hasara ni nani kama siyo mimi na wewe?

Kwa bahati mbaya sana chama chetu makao makuu kwenye uongozi timu nzima ya kampeni ni wageni wa siasa za nchi hii, Dr Bashiru na Polepole wameingia kwenye siasa juzi juzi. Hapa ukimtoa mzee Mangula wengine wote waliobaki ni wa kuja watupu na ndio wanaokigharimu chama hawa. Sitaki kuwa mnafki huu ndio ukweli acha niseme tu.

Nipo kwenye timu ya kampeni ndiyo na tunatazamana hapa wacha niseme ukweli mwenye kununa anune, mkiambiwa ukweli mnakua wakali.

Pole Sana kada umeandika kwa uchungu ,lakin andiko lako Lina mantiki ,hata sie tusio wanachama tulijaribu kushauri ,unafiki sio kitu kizuri,kweli uchaguzi mkuu hua ni mgum ila wa Sasa nimgum Sana kwa ccm so kweli Wenda tatizo ikawa no Kati uliyoyasema ,
 
CCM tulimpamba mzee sana kuanzia bungeni na nje ya bunge, tukaenda mbali na kusema kuwa hahitaji kampeni 2020 bora hata uchaguzi usifanyike ili apite bila kupingwa, hizi kauli za kinafki ni za kumhujumu mgombea wetu kuanzia leo iwe mwisho. Kama kweli hatukuhitaji kampeni wala uchaguzi huo CHOPA ni ya nini? Gharama zote za Chopa za nini?

Natoa wito kwa wanaccm wote, tuache unafki wa kumpamba mzee wetu wakati tunajua kuwa hali ni ngumu na uwezekano wa kuzidiwa ni mkubwa sana. Tunamdanganya mzee wetu kuwa mambo ni shwari kwa manufaa ya nani? Tukishindwa wa kwanza kupata hasara ni nani kama siyo mimi na wewe?

Kwa bahati mbaya sana chama chetu makao makuu kwenye uongozi timu nzima ya kampeni ni wageni wa siasa za nchi hii, Dr Bashiru na Polepole wameingia kwenye siasa juzi juzi. Hapa ukimtoa mzee Mangula wengine wote waliobaki ni wa kuja watupu na ndio wanaokigharimu chama hawa. Sitaki kuwa mnafki huu ndio ukweli acha niseme tu.

Nipo kwenye timu ya kampeni ndiyo na tunatazamana hapa wacha niseme ukweli mwenye kununa anune, mkiambiwa ukweli mnakua wakali.

Hilo helicopter lenyewe litaanguka muda sio muda.
 
Hayo ni maneno ya mtu aliyezidiwa KETE na sasa anatafuta njia ya KUJIFARIJI. Nani alisema hayo maneno kama siya kuokoteleza kutoka kwenye vijiwe visivyo RASMI. Kuna uchaguzi gani watu hawafanyi kampeni?Labda wewe ni kijana wa juzi kwani hata enzi za Chama kimoja, kampeni kwa mgombea aliyekuwa hana mpinzani, kampeni zilifanyika kwa nia ya kumthibitisha huyo aliyekuwa hana mpinzani. Huo ni utaratibu wa chaguzi zote duniani.
 
CCM tulimpamba mzee sana kuanzia bungeni na nje ya bunge, tukaenda mbali na kusema kuwa hahitaji kampeni 2020 bora hata uchaguzi usifanyike ili apite bila kupingwa, hizi kauli za kinafki ni za kumhujumu mgombea wetu kuanzia leo iwe mwisho. Kama kweli hatukuhitaji kampeni wala uchaguzi huo CHOPA ni ya nini? Gharama zote za Chopa za nini?

Natoa wito kwa wanaccm wote, tuache unafki wa kumpamba mzee wetu wakati tunajua kuwa hali ni ngumu na uwezekano wa kuzidiwa ni mkubwa sana. Tunamdanganya mzee wetu kuwa mambo ni shwari kwa manufaa ya nani? Tukishindwa wa kwanza kupata hasara ni nani kama siyo mimi na wewe?

Kwa bahati mbaya sana chama chetu makao makuu kwenye uongozi timu nzima ya kampeni ni wageni wa siasa za nchi hii, Dr Bashiru na Polepole wameingia kwenye siasa juzi juzi. Hapa ukimtoa mzee Mangula wengine wote waliobaki ni wa kuja watupu na ndio wanaokigharimu chama hawa. Sitaki kuwa mnafki huu ndio ukweli acha niseme tu.

Nipo kwenye timu ya kampeni ndiyo na tunatazamana hapa wacha niseme ukweli mwenye kununa anune, mkiambiwa ukweli mnakua wakali.

Gharama hizo wazilipe waliomshauri vibaya,kinafiki.
 
Kutembelea wakwavi
 
Duh! Punguzeni hasira wana-CCM wenzangu MAHANJU na GENTAMYCINE . Tukisapoti chama hata Kama mna maoni tofauti. Tujenge chama ili tushinde. Tusiwape faida wapinzani kwa kuanika mambo hadharani. Chama kinatuhitaji kuliko wakati mwingine wowote Sasa.

Nimezaliwa kuwa Mkweli na kutokuwa Mnafiki wala Muoga katika Jambo lolote lile na ninamuomba Mungu niendelee kuwa na hizi hizi tabia sana tu.
 
CCM tulimpamba mzee sana kuanzia bungeni na nje ya bunge, tukaenda mbali na kusema kuwa hahitaji kampeni 2020 bora hata uchaguzi usifanyike ili apite bila kupingwa, hizi kauli za kinafki ni za kumhujumu mgombea wetu kuanzia leo iwe mwisho. Kama kweli hatukuhitaji kampeni wala uchaguzi huo CHOPA ni ya nini? Gharama zote za Chopa za nini?

Natoa wito kwa wanaccm wote, tuache unafki wa kumpamba mzee wetu wakati tunajua kuwa hali ni ngumu na uwezekano wa kuzidiwa ni mkubwa sana. Tunamdanganya mzee wetu kuwa mambo ni shwari kwa manufaa ya nani? Tukishindwa wa kwanza kupata hasara ni nani kama siyo mimi na wewe?

Kwa bahati mbaya sana chama chetu makao makuu kwenye uongozi timu nzima ya kampeni ni wageni wa siasa za nchi hii, Dr Bashiru na Polepole wameingia kwenye siasa juzi juzi. Hapa ukimtoa mzee Mangula wengine wote waliobaki ni wa kuja watupu na ndio wanaokigharimu chama hawa. Sitaki kuwa mnafki huu ndio ukweli acha niseme tu.

Nipo kwenye timu ya kampeni ndiyo na tunatazamana hapa wacha niseme ukweli mwenye kununa anune, mkiambiwa ukweli mnakua wakali.

Mlikimbilia kuwanunua wabunge na madiwani badala ya kuongeza mapenzi kwa mtaji wa wanachama. Sasa waambieni wabunge na madiwani walio unga juhudi mkono wawapigie kura. Nyambaaaafuuu
 
cha kushangaza mpaka jumapili utakuta anakomaa na kampeni. ila waliomdanganya upinzani umekufa walimuingiza chaka sana
 
Kwani wengine hawafanyi hizo kampeni Jumapili? NEC wametoa siku 60 za kampeni lazima zitumike EFFECTIVELY. Kwani upinzani HAUJAFA? Au mnajiaminisha kuwa upo kwa uwepo wa Show Master?
 
CCM tulimpamba mzee sana kuanzia bungeni na nje ya bunge, tukaenda mbali na kusema kuwa hahitaji kampeni 2020 bora hata uchaguzi usifanyike ili apite bila kupingwa, hizi kauli za kinafki ni za kumhujumu mgombea wetu kuanzia leo iwe mwisho. Kama kweli hatukuhitaji kampeni wala uchaguzi huo CHOPA ni ya nini? Gharama zote za Chopa za nini?

Natoa wito kwa wanaccm wote, tuache unafki wa kumpamba mzee wetu wakati tunajua kuwa hali ni ngumu na uwezekano wa kuzidiwa ni mkubwa sana. Tunamdanganya mzee wetu kuwa mambo ni shwari kwa manufaa ya nani? Tukishindwa wa kwanza kupata hasara ni nani kama siyo mimi na wewe?

Kwa bahati mbaya sana chama chetu makao makuu kwenye uongozi timu nzima ya kampeni ni wageni wa siasa za nchi hii, Dr Bashiru na Polepole wameingia kwenye siasa juzi juzi. Hapa ukimtoa mzee Mangula wengine wote waliobaki ni wa kuja watupu na ndio wanaokigharimu chama hawa. Sitaki kuwa mnafki huu ndio ukweli acha niseme tu.

Nipo kwenye timu ya kampeni ndiyo na tunatazamana hapa wacha niseme ukweli mwenye kununa anune, mkiambiwa ukweli mnakua wakali.

Ok
 
Back
Top Bottom