CCM si chama cha kuanguka, UKAWA kesheni mkiomba lakini hamtafanikiwa

mkafrend

JF-Expert Member
May 12, 2014
3,047
1,503
Wana JF, salaam,

Tuzungumze ukweli bila kula midomo, CCM kiukweli si chama cha kuanguka leo wala kesho. Sababu ni kama zifuatazo:

1. Ni chama chenye ukubalika mkubwa (wanyonge, na matajiri)

2. Ni chama ambacho kwa sasa kifanya mambo ambayo ni hitaji la watanzania (TASAF, Mfuko wa Vijana nk)

3. Ni chama kilichodhamiria kwa dhati kupambana na ufisadi na ukwepaji kodi (Serikali ya Rais Magufuli haina kashifa)

4. Ni chama ambacho kimeweza kusimamia rasilimali watu ili kutoa huduma sitahiki kwa wakati (Hospital, na ofisi zingine za umma hakuna ubabaishaji)

5. Ukusanyaji kodi na udhibiti matumizi ya serikali - kodi imepanda na matumizi mengineyo yamezungumzwa.

6. Udhaifu wa vyama vya upinzani nchini - vyama kukaribisha viongozi mafisadi na kuwapa madaraka (EL, FS)

7. Facts hizi zichunguzeni kisha muone kama mbio zenu ukawa hazitaishia ukingoni.

Msakila KABENDE

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Wanajf, salaam!
Tuzungumze ukweli bila kula midomo, CCM kiukweli si chama cha kuanguka leo wala kesho. Sababu ni kama zifuatazo:
1. Ni chama chenye ukubalika mkubwa (wanyonge, na matajiri),
2. Ni chama ambacho kwa sasa kifanya mambo ambayo ni hitaji la Watanzania (Tasaf, Mfuko wa Vijana nk),
3. Ni chama kilichodhamiria kwa dhati kupambana na ufisadi na ukwepaji kodi (Serikali ya magufuli haina kashifa),
4. Ni chama ambacho kimeweza Kusimamia rasilimali watu ili kutoa huduma sitahiki kwa wakati (Hospital, na ofc zingine za umma hakuna ubabaishaji),
5. Ukusanyaji kodi na udhibiti matumizi ya serikali - kodi imepanda na matumizi mengineyo yamezungumzwa,
6. Udhaifu wa vyama vya upinzani nchini - vyama kukaribisha viongozi mafisadi na kuwapa madaraka (EL, FS)
7. Facts hizi zichunguzeni kisha muone kama mbio zenu ukawa hazitaishia ukingoni.
Kupeleka majeshi Zanzibar katika uchaguzi haramu uliofanyika 20 machi
 
Ningeitwa Mussa ungesemaje! (kwamba mie ni muiraq!, au angeitwa nzeyimana - ungesema ni mrundi). Hoja yangu kama mtanzania sioni safari inayoendelea kwa UKAWA
 
Ni chama cha wahuni, wezi, wauza unga, mafisadi na wapokea rushwa. Ni chama ambacho kilihusika na EPA, Escrow, Richmond/Dowans, MV Ufisadi, LUGUMI, Ukwapuzi wa nyumba, Upotevu wa mabilioni ya pesa katika hazina na wuzara mbali mbali nchini. Ni chama ambacho kinajua fika bila katiba fake ya chama kimoja, Tume ya wizi wa kura na chaguzi na mtutu wa polisiccm KAMWE hakiwezi kuendelea kubaki madarakani.

Wanajf, salaam!
Tuzungumze ukweli bila kula midomo, CCM kiukweli si chama cha kuanguka leo wala kesho. Sababu ni kama zifuatazo:
1. Ni chama chenye ukubalika mkubwa (wanyonge, na matajiri),
2. Ni chama ambacho kwa sasa kifanya mambo ambayo ni hitaji la Watanzania (Tasaf, Mfuko wa Vijana nk),
3. Ni chama kilichodhamiria kwa dhati kupambana na ufisadi na ukwepaji kodi (Serikali ya magufuli haina kashifa),
4. Ni chama ambacho kimeweza Kusimamia rasilimali watu ili kutoa huduma sitahiki kwa wakati (Hospital, na ofc zingine za umma hakuna ubabaishaji),
5. Ukusanyaji kodi na udhibiti matumizi ya serikali - kodi imepanda na matumizi mengineyo yamezungumzwa,
6. Udhaifu wa vyama vya upinzani nchini - vyama kukaribisha viongozi mafisadi na kuwapa madaraka (EL, FS)
7. Facts hizi zichunguzeni kisha muone kama mbio zenu ukawa hazitaishia ukingoni.
 
Ni chama cha wahuni, wezi, wauza unga, mafisadi na wapokea rushwa. Ni chama ambacho kilihusika na EPA, Escrow, Richmond/Dowans, MV Ufisadi, LUGUMI, Ukwapuzi wa nyumba, Upotevu wa mabilioni ya pesa katika hazina na wuzara mbali mbali nchini. Ni chama ambacho kinajua fika bila katiba fake ya chama kimoja, Tume ya wizi wa kura na chaguzi na mtutu wa polisiccm KAMWE hakiwezi kuendelea kubaki madarakani.
Naona unajitekenya na kucheka mwenyewe mkuu jiapnge tena huu mchezo hauhitaji hasira.
 
Ha ha ha BAK - hizi zimebaki history (nimeandika juu ya chama chenu kuwapokea mapapa wa ufisadi, wizi, rushwa na kugushi).
 
Kuwachagulia Upinzani wenyeviti aka Lipumba na Jeshi la Polisi
UKAWA tumbo joto wanajua kabisa mtu anayechukia ufisadi kaja hivo hakuna mianya ya dili dili tena ndo maana maalim na MTATIRO wanahaha huku na kule, CHADEMA ndo usiseme! Hongera Sana profesa lipumba tupo nawewe bega kwa bega kupambana na hawa mafilisti.
 
Kwa akili yako finyu lakini deep down unajua nilichaondika ni ukweli mtupu, lakini wewe unayetumika kama ndom na wahuni wa chama chenu ni lazima upinge.

Naona unajitekenya na kucheka mwenyewe mkuu jiapnge tena huu mchezo hauhitaji hasira.
 
CCM ni chama ambacho hutumia dola kuwa tishia wananchi wawe na hofu.
Nichamba ambacho kimejificha nyuma ya katiba ya nchi kikiwa kimejishiza kwenye katiba ya nchi.
Ndio maana wanajeuri maana wanajua hata kama wanachi wamewakataa wanatumia nguvu ya upendeleo ya kikatiba kukandamiza demokrasia na matakwa ya walio wengi.
 
Back
Top Bottom