Ccm shinyanga mjini,wamfurusha m/kiti wao wa zamani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm shinyanga mjini,wamfurusha m/kiti wao wa zamani!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ghiti Milimo, Oct 2, 2012.

 1. Ghiti Milimo

  Ghiti Milimo JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 582
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 60
  Wapiga kura katika chaguzi mbali mbali za CCM zinazoendelea nchini,jana katika ukumbi wa Nyakahara,Shinyanga mjini,walimdondosha aliye kuwa Mwenyekiti wao,Mzee,Salumu Simba,na kumpa Kanali Maulidi.
  Mzee Simba,alitupwa katika awamu ya kwanza tu! Ambapo,Salum Zam Zam,aliongoza,akifuatia Kanali Maulidi,ambao waliingia awamu ya mwisho.
  Awamu hiyo,mshindi alipata kura 348,na Zam Zam alipata 318.
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  None of my business peleka uhuru na Mzalendo
   
 3. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,848
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  ccm shinyanga ndiyo nini??? fafanua ni mgahawa au machinjio ya kuku??
   
 4. Ghiti Milimo

  Ghiti Milimo JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 582
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 60
  Uenyekiti wa CCM wa wilaya ya Shinyanga mjini!
  Kuna lingine?
   
 5. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Napita anyway ntakuja kuchukua jimbo langu 2015.
   
 6. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,775
  Likes Received: 6,108
  Trophy Points: 280
  CCM chiboko.
   
 7. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ndio wanyama gani hawa au ni majina ya binadam????
   
 8. Ghiti Milimo

  Ghiti Milimo JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 582
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 60
  Ilitegemewa kushindwa mwenyekiti huyo wa zamani,kwani alikuwa 'mtu wa dini' na kujitenga na UFISADI/MAFISADI,ambazo ndizo sifa kuu za Chama chao!
   
Loading...