CCM serikali ya nini kama hamuwezi kuitumia?

Kama nyie kila siku kazi yenu ni kulaumu wapinzani mambo yanapokwenda kombo na kwa kushindwa kwenu kufikia malengo mliyojiwekea badala ya kutafuta ufumbuzi, tuwaeleweje. Sasa kama mnaweza kukwamishwa na walio nje ya serikali ni kwa nini mliomba kuiongoza serikali?
Haaa!
 
Sahivi kila kiongozi anashawishi watu waunge mkono juhudi za jiwe,wanaona kuna nini????
 
huwa mnamaanisha nini mkisema policcm na Tumeccm au mahaka ccm?
Huwa tunamaanisha taasisi za umma zisizofuata sheria na kanuni za kuanzishwa kwake. Hayo siyo matumizi ya serikali ila ni tabia za watu wasiojiamini wanapokuwa wanaongoza serikali.
 
Kama nyie kila siku kazi yenu ni kulaumu wapinzani mambo yanapokwenda kombo na kwa kushindwa kwenu kufikia malengo mliyojiwekea badala ya kutafuta ufumbuzi, tuwaeleweje. Sasa kama mnaweza kukwamishwa na walio nje ya serikali ni kwa nini mliomba kuiongoza serikali?
logic people will not see
 
Back
Top Bottom