Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 233
Hii ni dhahiri sasa baada ya tukio lile la Mgololo Iringa ambapo polisi walipofikia siku zao 40 – baada kujikuta wanaaibika katika jitihada zao za kuitumikia CCM kwa lengo la kuionyesha CDM kuwa ni chama cha vurugu.
Baada ya hilo tukio ambalo mbali na kuiabisha polisi, bali pia serikali ya CCM lilimpelekea JK kuagiza/kutoa angalizo k,wa makada wa chama chake kwamba waache kutegemea polisi katika kudhibiti makada wa CDM na hoja zao na badala yake wajibu hoja zao.
Kujibu hoja za msingi za makada wa CDM imekuwa kazi ngumu kwa watu kama Nape hadi kufikia sasa anaaingiza mambo mengine yasiyohusu eti Slaa bado ana kadi ya CCM.