CCM sasa yapoteza mwelekeo baada ya agizo la JK la kutotegemea polisi kuidhibiti Chadema

Hadi sasa bado sijapata mantiki kwa JK kutoa agizo kama lile liliwaumbua si kwa polisi wake moja kwa moja, bali pia kwa makada wa chama chake.

Inawezekana ktk siasa hizi za ushindani JK is a good person after all, lakini tatizo ni watendaji wake ambao wanahangaika kila siku kujipendekeza kwake.
 
Na eti baada ya JK kutoa kauli hiyo, akina Kinana wameanza kuwa-parade mawaziri mbele ya umma wajieleze. Nao baada ya kuona zomea zomea wanakacha parade hizo!

Hakika CCM imepoteza mwelekea baada ya makada wake kuambiwa waachane na mbeleko ya polisi. hata hii ya Nape ya Slaa kuwa na kadi ya CCM ni kupoteza muelekeo.
 
hivi kinana ni jangili la meno ya tembo? au kampuni yake inafanya ujangili? au ujangili unafanywa na kampuni yake bila ya yeye kujua?
 
msi wasahau wakuu wa vituo wenye viherehere kama kule ruaha kilombero kuna rijamaa linaitwa samwel kijanga nalo ni lakufanyiwa kazi wiki ya juzi lili2ma vijana wake waende kuvunja ofisi ya chadema kata ya ruaha!
 
Back
Top Bottom