Akiongea na waandishi wa Habari mjini igunga meneja kampeni za chama cha mapinduzi Mwigulu nchemba amesema tunahofia kura za mgombea wa Cuf Leopold Mahona alizopata mwaka jana katika uchaguzi mkuu, pia na kampeni za CUF kweli jinsi zinavyoendeshwa kwa kweli imekuwa ni tishio, tunajipanga kuhakikisha ni jinsi gani tunakikabili chama cha CUF, Habari zaid soma majira tar 25.09.2011