CCM: Sasa ni dhahiri wanajenga mnara wa babeli;Itakufa Oktoba 2015.

Tutaendelea kuichagua ccm ngazi zote kuanzia udiwani, ubunge hadi urais nchi nzima hadi ichoke yenyewe

Bila shaka haupo sawa,inamaana unafurahishwa namaisha wanayoishi wazee wako vijijini yakutokuwa hata nauhakika wamlo mmoja kwasiku? Elimika,usitake kuwarudisha watu nyuma kifikra,watu wameshaona ukombozi upo mbele yao,wewe unataka kuturudisha nyuma! Ushindwe naulegee kwajina la YESU
 
Wadau,

Katika taarifa ya habari ya StarTV ya saa mbili usiku,kumeripotiwa misimamo miwili tofauti toka kwa viongozi wa CCM.
Msimamo wa kwanza umeoneshwa na mwenyekiti wa CCM J.M.Kikwete wakati alipokuwa anafungua mkutano wa baraza la vyama vya siasa (wajumbe wake ni viongozi wakuu wa vyama hivyo) kuhusu namna nzuri ya kujadili rasimu ya katiba akiwaasa viongozi hao kuwa WASIINGIE BUNGENI NA MISIMAMO YA VYAMA VYAO NA KUPINGA KILA PENDEKEZO TOKA CHAMA KINGINE BALI WAJADILIANE KWA MASILAHI YA WANANCHI.

Nape M. Nnauye katibu mwenezi wa CCM akiwa anamnadi mgombea wa udiwani kata ya Kiboriloni, Moshi ametoa msimamo wa CCM kuwa WAO WANATAKA SERIKALI MBILI NA WALE WOTE WANAOTAKA SERIKALI TATU NI WAROHO WA MADARAKA NA WAHUNI.

Kwa kauli hizi zinazokinzana toka kwa mwenyekiti na mwenezi wake, kuna uwezekano kweli chama hiki kika-survive dhidi ya dhoruba ya uchaguzi mwaka 2015? Nilitegemea akisemacho mwenyekiti ndicho anachokieneza Nape lakini sivyo. Mtazamo wangu ni kwamba kwa sasa wanafanana na wale jamaa waliokuwa wanajenga mnara wa babeli,hawakufanikiwa;nao CCM hawatafanikiwa kuendelea kushika dola 2015.

Watapona kweli?

Wewe kubwa jinga kwani tatizo liko wapi
 
wendawazimu pekee ndio wanaotaka serikali tatu,kuwa na serikali tatu ni sawa na kuua muungano,,,waroho wa madaraka,wabaguzi na wabinafsi ndio wanaotaka serikali tatu, sisi watanzania tunasema hatutaki serikali tatu...! anaetaka serikali tatu akaanzishe nchi yake.

nyie watanzania na nani?sema mimi usituunganishe na wengine
 
Ccm itaongoza tanzania milele
Hivi unaelewa maana ya neno "milele"? Au umeamua kuongea Kujifurahisha. Kwa Taarifa yako Hakuna chama chochote cha siasa, iwe ni hapa Tanzania ama kwingineko kote kitakachotawala milele. Kama wewe ni mtu unayeamini siku ya kiyama naomba unijibu swali hili, Je! CCM itatawala kuanzia hapa Tanzania wakati wa maisha haya na baada ya maisha haya kutawala Mbinguni? Au hata Jehanamu? Jaribu kumaanisha zaidi katika maoni yako na usipende kuzungumza vitu ambavyo haviwezekani kwasababu ya ushabiki tu.
 
wendawazimu pekee ndio wanaotaka serikali tatu,kuwa na serikali tatu ni sawa na kuua muungano,,,waroho wa madaraka,wabaguzi na wabinafsi ndio wanaotaka serikali tatu, sisi watanzania tunasema hatutaki serikali tatu...! anaetaka serikali tatu akaanzishe nchi yake.

kwani wewe sio mtanzania?

mbona sijawahi kukuambia hata siku moja kua sihitaji serikali tatu? ok ni hv mimi ni mtanganyika
 
Chama hakiwezi kufa bali kinakaa pembeni yaani nacho kinakuwa chama cha upinzani wakati kinajipanga kufanya vizuri zaidi.Unajua haya mambo ya kupokezana madaraka ni yakawaida sana tatizo watu hawajazoea kuishi bila kuabudiwa na hii ni kasumba ya viongozi wa bara la Afrika waliowengi. nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnatamani ingekuwapo katiba ya dunia ambayo ingetaka chama fulani kitatawala kwa kipindi fulani then kinaachia chama kingine vita ingepungua kwa nchi za Afrika.
 
Hivi jamani kuita watu wanataka serikari tatu kuwa ni wahuni huyo mtu hafai hatakuwa kiongozi wa nyumba kumi. Sababu haiwezi aslimia 60% ya watanzani kuwa wahuni harafu wewe ukawa mstaraabu
 
serikali mbili zatosha
 
wendawazimu pekee ndio wanaotaka serikali tatu,kuwa na serikali tatu ni sawa na kuua muungano,,,waroho wa madaraka,wabaguzi na wabinafsi ndio wanaotaka serikali tatu, sisi watanzania tunasema hatutaki serikali tatu...! anaetaka serikali tatu akaanzishe nchi yake.

Hebu fafanua serikali tatu zinahusianaje na uliyoandika mkuu au unameza kila unachopewa bila kutafuna.
 
wendawazimu pekee ndio wanaotaka serikali tatu,kuwa na serikali tatu ni sawa na kuua muungano,,,waroho wa madaraka,wabaguzi na wabinafsi ndio wanaotaka serikali tatu, sisi watanzania tunasema hatutaki serikali tatu...! anaetaka serikali tatu akaanzishe nchi yake.

Watanzania wapi unawazungumuzia ww, waitu ww unashangaza. Unaishi bado Katelero njia ya kwenda Bujugo?
 
waa a wapi we? mbona unakariri sentensi kwenye gazeti afu neo unatupia toa mawazo yako
 
wendawazimu pekee ndio wanaotaka serikali tatu,kuwa na serikali tatu ni sawa na kuua muungano,,,waroho wa madaraka,wabaguzi na wabinafsi ndio wanaotaka serikali tatu, sisi watanzania tunasema hatutaki serikali tatu...! anaetaka serikali tatu akaanzishe nchi yake.

Mbili nazo hatutaki, kelele za Zanzibar kunyonywa hazitaisha! Moja ndo mpango mzima, tusubiri kura ya maoni siyo kufikiri 2, au 3 tu pekee, huo ni upotofu wa kipekee!
 
Watanzania wapi unawazungumuzia ww, waitu ww unashangaza. Unaishi bado Katelero njia ya kwenda Bujugo?

watanzania mimi na wewe, halafu mi siishi katelero.Mimi niko zangu nshamba hapa nimetulia
 
Mbona ccm limebaki jina tu, unataka ife mara mbili, ccm ishakufa, kitendo cha watu kugoma kugombea udiwani kupitia ccm chama tawala, ni ishara tosha kuw cha kimekufa.
 
Wadau,

Katika taarifa ya habari ya StarTV ya saa mbili usiku,kumeripotiwa misimamo miwili tofauti toka kwa viongozi wa CCM.
Msimamo wa kwanza umeoneshwa na mwenyekiti wa CCM J.M.Kikwete wakati alipokuwa anafungua mkutano wa baraza la vyama vya siasa (wajumbe wake ni viongozi wakuu wa vyama hivyo) kuhusu namna nzuri ya kujadili rasimu ya katiba akiwaasa viongozi hao kuwa WASIINGIE BUNGENI NA MISIMAMO YA VYAMA VYAO NA KUPINGA KILA PENDEKEZO TOKA CHAMA KINGINE BALI WAJADILIANE KWA MASILAHI YA WANANCHI.

Nape M. Nnauye katibu mwenezi wa CCM akiwa anamnadi mgombea wa udiwani kata ya Kiboriloni, Moshi ametoa msimamo wa CCM kuwa WAO WANATAKA SERIKALI MBILI NA WALE WOTE WANAOTAKA SERIKALI TATU NI WAROHO WA MADARAKA NA WAHUNI.

Kwa kauli hizi zinazokinzana toka kwa mwenyekiti na mwenezi wake, kuna uwezekano kweli chama hiki kika-survive dhidi ya dhoruba ya uchaguzi mwaka 2015? Nilitegemea akisemacho mwenyekiti ndicho anachokieneza Nape lakini sivyo. Mtazamo wangu ni kwamba kwa sasa wanafanana na wale jamaa waliokuwa wanajenga mnara wa babeli,hawakufanikiwa;nao CCM hawatafanikiwa kuendelea kushika dola 2015.

Watapona kweli?

Mkuu huwa simsikilizi JK lakini hii ya jana imenikuta nakula, alisema yote. Kwa maslahi ya taifa na chama, tena akasisitiza kuwa vyama visimamie misimamo yao pia.
 
Back
Top Bottom