CCM Poleni. Hili la uandikishaji wapiga kura ni KANSA mliyoitengeneza wenyewe

Kwanini unateseka wakati ni fursa kwenu kupita Bila kutumia nguvu Wala kuua akina akwilina wengine?

Mbona Mmepita Bila kupingwa majimbo mengi Sana Na mnaongoza fresh tu Na Uchumi unakua!!!

Acheni uoga
Hawajiamini kabisa hawa watu.
 
Makonda mwaka huu akipona akachinje Kuku katikati ya Bahari

Wameanza kumtafuta kwenye Miradi, kaacha Longolongo siku hizi analala site Vingunguti akina Jaffo wamebadili Gia Angani sasa wanasema wanapima utendaji wake kwa kuangalia idadi ya waliojiandisha kwenye daftari la Wapiga kura

Hii ni sawa na wale ma Lecturer anakupeni ‘area of concentration’ halafu hayo maeneo hayatoi kwenye Mtihan
Hahahaha naona unamchana kijani mwenzako hahahahaha
 
Habarini Wadau,

Ninasema wazi kabisa ninachokishuhudia katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura katika kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, yaani Wenyeviti wa Kijiji, wenyeviti wa Kitongoji na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya vijiji.

Kwakweli katika Wilaya nyingi wananchi HAWAJIANDIKISHI KABISA, kwa anayebisha apite katika vitongoji karibu vyote, Wananchi hawataki kujiandikisha.

SABABU WANAZOTOA :- Wengi wa wananchi wanalalamika kwa kubanwa kwa wagombea wao wa vyama vya upinzani ambao walikuwa tayari kuwachagua.

Unakutana na wananchi wanakuambia wazi kabisa ''Sina muda mchafu'' wa kujiandikisha na kupiga kura kwasababu watakaoshinda kwa hila na nguvu wanajulikana.

Nailaumu CCM, hususan Mwenyekiti wao aliyewanyima wapinzani haki yao ya kujieleza kwa Wananchi wao.

Sasa naona wanaoweweseka sana ni haohao viongozi wa CCM, kwa kulaumu mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara kuwa ndio hawajafanya uhamasishaji kwa wananchi ili wajiandikishe.

Mh. Suleiman Jaffo, Waziri wa Nchi O.R TAMISEMI amewashitaki kwa Rais wasimamizi wote wa mikoa hii ya Kaskazini kwamba uandikishaji ni hafifu Mnoo kwakuwa hawajahamasisha. Haijatosha ametoa agizo kuwa sasa ni lazima wananchi waandikishwe kwa zaidi ya 50%

Kingine tena, Leo wasimamizi wameagiza tena waandikishaji wapite nyumba kwa nyumba kuandikisha.

Waandikishaji nao wanagoma kwenda mpaka walipwe kwasababu sehemu nyingi zipo remoted na mbali...na pia ni kazi ngumu kwakuwa mwanzoni walikubaliana kukaa katika vituo rasmi vya kuandikishia.

SWALI LA MSINGI : Kwanini mnalazimisha watu kujiandikisha?

Hata sehemu isiyo na Upinzani kabisa kama Same na tambarare ya Mwanga ambapo CCM inatawala siku zote pia wananchi wengine hawajiandikishi.

TATIZO NI NINI?

Siku zote ''Mshahara wa Dhambi ni Mauti''

Haya ni Mauti kwa upande wa kaskazini.
Je ukimpeleka mbuzi mtoni huwezi kulazimisha anywe maji...
 
SABABU WANAZOTOA :- Wengi wa wananchi wanalalamika kwa kubanwa kwa wagombea wao wa vyama vya upinzani ambao walikuwa tayari kuwachagua.

…................................................

SWALI LA MSINGI : Kwanini mnalazimisha watu kujiandikisha?

Hata sehemu isiyo na Upinzani kabisa kama Same na tambarare ya Mwanga ambapo CCM inatawala siku zote pia wananchi wengine hawajiandikishi.

My take
Mwandishi hujui unataka ku achive nini kwenye post yako. Hebu andika maneno machache ili tukuelewe.
 
Shindeni ata gadaffi alishinda hivyo hivyo.Yaani wewe unawazuhia wenzeko kuingia darasani kuchukua notes then unataka ushindane nao kwenye mitihani? PUMBAVU
Yaani, serikali haina tofauti na walimu wenye Roho mbaya. Asietoa Notsi, anakwambia akimaliza kufundisha vipindi vyake vya nusu muhula ndio anatoa notsi. Mwisho wa nusu muhula anakuja kutoa kitini kina notsi page 330 uzisome imebaki wiki 1, muingie kwy mitihani. Tanzania nchi ya kipuuuzi sana. Kuanzia wakufunzi wa vyuo vikuuu, na kama ndio kijana anajenga mazingira ya kuwashika wanafunzi ili wanafunzi wa kike wampe mapenzi. Hatuwenzi kuendelea hata kidogo, elimu imekuwa bihashara ya pesa na rushwa ya ngono
 
SABABU WANAZOTOA :- Wengi wa wananchi wanalalamika kwa kubanwa kwa wagombea wao wa vyama vya upinzani ambao walikuwa tayari kuwachagua.

…................................................

SWALI LA MSINGI : Kwanini mnalazimisha watu kujiandikisha?

Hata sehemu isiyo na Upinzani kabisa kama Same na tambarare ya Mwanga ambapo CCM inatawala siku zote pia wananchi wengine hawajiandikishi.

My take
Mwandishi hujui unataka ku achive nini kwenye post yako. Hebu andika maneno machache ili tukuelewe.
Wewe huna Akili wala Uelewa.

Ndio maana peke yako tu ndiye unayelalamika kutoelewa. Wenye akili timamu wote wameelewa.
 
Hao 40+ waliochangia uzi wako wamegubikwa na Chuki ndio maana hawawezi kuona utumbo uliouandika.
 
Huu ni upumbavu uliopitiliza. Watu kutojiandikisha mnamlaumu mtu na kushinda kwenye mitandao.
Wakati hata ulaya na marekani mnapofikiri demokrasia imekuwa wanapita Nyumba Kwa Nyumba kuomba watu wajiandikishe.
Na siku ya kupiga kura volunteers wanaenda Nyumba Kwa Nyumba kupeleka watu vituoni.

Ninyi wapinzani mabwege pelekeni ujinga nyumbani.

o

Ulaya ya wapi?
 
Mkuu kam vile hujalitendea haki jina lako, si kwa uzwazwa huo
 
Ukweli ni kuwa wameona hakuna haja ya Uchaguzi sabbu serikali iliyopo inafanya kazi ile waliyo kuwa wakiitaka pale ambapo wanaona kuna umuhimu wa kufanya mabadiriko bila shaka utawaona wakiwa wamejiandikisha kwa idadi kubwa.
Na hili lina akisi kile kitakachotokea 2020..

NINATABIRI 2020 MH, RAIS JPM ATAPITA BILA KUPINGWA...!!

sbbu katika hali halisi hakuna mpinzani atakayesimama kwa Nafasi ya Urais.
Lets wait and see.

Wananchi wamewaachia uwanja wazi,malalamiko ya nini tena?
Chukueni uongozi wote kuanzia mitaani/sheha,Vitongojini,Vijijini, Wilayani na Mwakani Majimboni hadi Taifa, ili muwapelekee maendeleo kama mnavyojigamba.
Chezeni ngoma kwa uhuru.
 
Habarini Wadau,

Ninasema wazi kabisa ninachokishuhudia katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura katika kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, yaani Wenyeviti wa Kijiji, wenyeviti wa Kitongoji na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya vijiji.

Kwakweli katika Wilaya nyingi wananchi HAWAJIANDIKISHI KABISA, kwa anayebisha apite katika vitongoji karibu vyote, Wananchi hawataki kujiandikisha.

SABABU WANAZOTOA :- Wengi wa wananchi wanalalamika kwa kubanwa kwa wagombea wao wa vyama vya upinzani ambao walikuwa tayari kuwachagua.

Unakutana na wananchi wanakuambia wazi kabisa ''Sina muda mchafu'' wa kujiandikisha na kupiga kura kwasababu watakaoshinda kwa hila na nguvu wanajulikana.

Nailaumu CCM, hususan Mwenyekiti wao aliyewanyima wapinzani haki yao ya kujieleza kwa Wananchi wao.

Sasa naona wanaoweweseka sana ni haohao viongozi wa CCM, kwa kulaumu mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara kuwa ndio hawajafanya uhamasishaji kwa wananchi ili wajiandikishe.

Mh. Suleiman Jaffo, Waziri wa Nchi O.R TAMISEMI amewashitaki kwa Rais wasimamizi wote wa mikoa hii ya Kaskazini kwamba uandikishaji ni hafifu Mnoo kwakuwa hawajahamasisha. Haijatosha ametoa agizo kuwa sasa ni lazima wananchi waandikishwe kwa zaidi ya 50%

Kingine tena, Leo wasimamizi wameagiza tena waandikishaji wapite nyumba kwa nyumba kuandikisha.

Waandikishaji nao wanagoma kwenda mpaka walipwe kwasababu sehemu nyingi zipo remoted na mbali...na pia ni kazi ngumu kwakuwa mwanzoni walikubaliana kukaa katika vituo rasmi vya kuandikishia.

SWALI LA MSINGI : Kwanini mnalazimisha watu kujiandikisha?

Hata sehemu isiyo na Upinzani kabisa kama Same na tambarare ya Mwanga ambapo CCM inatawala siku zote pia wananchi wengine hawajiandikishi.

TATIZO NI NINI?

Siku zote ''Mshahara wa Dhambi ni Mauti''

Haya ni Mauti kwa upande wa kaskazini.
Post yako imeeleza vyema sababu ya wananchi kutokujiandikisha, mbona unauliza tena?

Mm ndo wala sina hata habari, na mwakani hivyohivyo sinyanyi mguu wangu.. Mpaka pale democrasia ya kweli itakaporudishwa kwa wananchi.
 
Huu ni upumbavu uliopitiliza. Watu kutojiandikisha mnamlaumu mtu na kushinda kwenye mitandao.
Wakati hata ulaya na marekani mnapofikiri demokrasia imekuwa wanapita Nyumba Kwa Nyumba kuomba watu wajiandikishe.
Na siku ya kupiga kura volunteers wanaenda Nyumba Kwa Nyumba kupeleka watu vituoni.

Ninyi wapinzani mabwege pelekeni ujinga nyumbani.
Tena msipojiandikisha ndo tutashinda kirahisi zaidi
Sasa utashindana na nani wakati umeshawaamuru wateule wako wasithubutu kuwatangaza wapinzani wako ?!
 
Watu wa kuwalaumu baba yako na mama yako hao ndio mabwege no1, then na huko lumumba kote.

Back
Top Bottom