• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

CCM Poleni. Hili la uandikishaji wapiga kura ni KANSA mliyoitengeneza wenyewe

Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
15,705
Points
2,000
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
15,705 2,000
Habarini Wadau,

Ninasema wazi kabisa ninachokishuhudia katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura katika kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, yaani Wenyeviti wa Kijiji, wenyeviti wa Kitongoji na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya vijiji.

Kwakweli katika Wilaya nyingi wananchi HAWAJIANDIKISHI KABISA, kwa anayebisha apite katika vitongoji karibu vyote, Wananchi hawataki kujiandikisha.

SABABU WANAZOTOA :- Wengi wa wananchi wanalalamika kwa kubanwa kwa wagombea wao wa vyama vya upinzani ambao walikuwa tayari kuwachagua.

Unakutana na wananchi wanakuambia wazi kabisa ''Sina muda mchafu'' wa kujiandikisha na kupiga kura kwasababu watakaoshinda kwa hila na nguvu wanajulikana.

Nailaumu CCM, hususan Mwenyekiti wao aliyewanyima wapinzani haki yao ya kujieleza kwa Wananchi wao.

Sasa naona wanaoweweseka sana ni haohao viongozi wa CCM, kwa kulaumu mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara kuwa ndio hawajafanya uhamasishaji kwa wananchi ili wajiandikishe.

Mh. Suleiman Jaffo, Waziri wa Nchi O.R TAMISEMI amewashitaki kwa Rais wasimamizi wote wa mikoa hii ya Kaskazini kwamba uandikishaji ni hafifu Mnoo kwakuwa hawajahamasisha. Haijatosha ametoa agizo kuwa sasa ni lazima wananchi waandikishwe kwa zaidi ya 50%

Kingine tena, Leo wasimamizi wameagiza tena waandikishaji wapite nyumba kwa nyumba kuandikisha.

Waandikishaji nao wanagoma kwenda mpaka walipwe kwasababu sehemu nyingi zipo remoted na mbali...na pia ni kazi ngumu kwakuwa mwanzoni walikubaliana kukaa katika vituo rasmi vya kuandikishia.

SWALI LA MSINGI : Kwanini mnalazimisha watu kujiandikisha?

Hata sehemu isiyo na Upinzani kabisa kama Same na tambarare ya Mwanga ambapo CCM inatawala siku zote pia wananchi wengine hawajiandikishi.

TATIZO NI NINI?

Siku zote ''Mshahara wa Dhambi ni Mauti''

Haya ni Mauti kwa upande wa kaskazini.
 
white wizard

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Messages
4,050
Points
2,000
white wizard

white wizard

JF-Expert Member
Joined May 18, 2011
4,050 2,000
Sasa wewe miaka minne, umewabana watu wasishiriki kwenye siasa, tofauti na chama tawala, leo inafika siku eti unawahitaji tena hao uliowaona hawana haki ya kufanya siasa?!! Sasa aibu ni kwao, wanaanza kutafuta mchawi tena? Wapitishane tu na ndio kauli za watu wengi,. Aliyeharibu sasa ndio anaanza tafuta mchawi kwa ma RC, DC, wakuja tolewa kafara
 
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Messages
22,091
Points
2,000
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2015
22,091 2,000
Makonda mwaka huu akipona akachinje Kuku katikati ya Bahari

Wameanza kumtafuta kwenye Miradi, kaacha Longolongo siku hizi analala site Vingunguti akina Jaffo wamebadili Gia Angani sasa wanasema wanapima utendaji wake kwa kuangalia idadi ya waliojiandisha kwenye daftari la Wapiga kura

Hii ni sawa na wale ma Lecturer anakupeni ‘area of concentration’ halafu hayo maeneo hayatoi kwenye Mtihan
 
CAGvsSPEAKER

CAGvsSPEAKER

Member
Joined
May 16, 2019
Messages
58
Points
125
CAGvsSPEAKER

CAGvsSPEAKER

Member
Joined May 16, 2019
58 125
Habarini Wadau,

Ninasema wazi kabisa ninachokishuhudia katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura katika kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, yaani Wenyeviti wa Kijiji, wenyeviti wa Kitongoji na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya vijiji.

Kwakweli katika Wilaya nyingi wananchi HAWAJIANDIKISHI KABISA, kwa anayebisha apite katika vitongoji karibu vyote, Wananchi hawataki kujiandikisha.

SABABU WANAZOTOA :- Wengi wa wananchi wanalalamika kwa kubanwa kwa wagombea wao wa vyama vya upinzani ambao walikuwa tayari kuwachagua.

Unakutana na wananchi wanakuambia wazi kabisa ''Sina muda mchafu'' wa kujiandikisha na kupiga kura kwasababu watakaoshinda kwa hila na nguvu wanajulikana.

Nailaumu CCM, hususan Mwenyekiti wao aliyewanyima wapinzani haki yao ya kujieleza kwa Wananchi wao.

Sasa naona wanaoweweseka sana ni haohao viongozi wa CCM, kwa kulaumu mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara kuwa ndio hawajafanya uhamasishaji kwa wananchi ili wajiandikishe.

Mh. Suleiman Jaffo, Waziri wa Nchi O.R TAMISEMI amewashitaki kwa Rais wasimamizi wote wa mikoa hii ya Kaskazini kwamba uandikishaji ni hafifu Mnoo kwakuwa hawajahamasisha. Haijatosha ametoa agizo kuwa sasa ni lazima wananchi waandikishwe kwa zaidi ya 50%

Kingine tena, Leo wasimamizi wameagiza tena waandikishaji wapite nyumba kwa nyumba kuandikisha.

Waandikishaji nao wanagoma kwenda mpaka walipwe kwasababu sehemu nyingi zipo remoted na mbali...na pia ni kazi ngumu kwakuwa mwanzoni walikubaliana kukaa katika vituo rasmi vya kuandikishia.

SWALI LA MSINGI : Kwanini mnalazimisha watu kujiandikisha?

Hata sehemu isiyo na Upinzani kabisa kama Same na tambarare ya Mwanga ambapo CCM inatawala siku zote pia wananchi wengine hawajiandikishi.

TATIZO NI NINI?

Siku zote ''Mshahara wa Dhambi ni Mauti''

Haya ni Mauti kwa upande wa kaskazini.
Wajeee wasije tutawashindaa...CCM chama chetu chatuongoza.
Kumbe waliogoma na wapinzani?
Wagome tu.....sisi tunasubiri ushindi wa kimbunga sasa na 2020.
2180523_2B2552076320770200642020191010_202821.jpeg
 
kakuruvi

kakuruvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2009
Messages
719
Points
225
kakuruvi

kakuruvi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2009
719 225
Habarini Wadau,

Ninasema wazi kabisa ninachokishuhudia katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura katika kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, yaani Wenyeviti wa Kijiji, wenyeviti wa Kitongoji na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya vijiji.

Kwakweli katika Wilaya nyingi wananchi HAWAJIANDIKISHI KABISA, kwa anayebisha apite katika vitongoji karibu vyote, Wananchi hawataki kujiandikisha.

SABABU WANAZOTOA :- Wengi wa wananchi wanalalamika kwa kubanwa kwa wagombea wao wa vyama vya upinzani ambao walikuwa tayari kuwachagua.

Unakutana na wananchi wanakuambia wazi kabisa ''Sina muda mchafu'' wa kujiandikisha na kupiga kura kwasababu watakaoshinda kwa hila na nguvu wanajulikana.

Nailaumu CCM, hususan Mwenyekiti wao aliyewanyima wapinzani haki yao ya kujieleza kwa Wananchi wao.

Sasa naona wanaoweweseka sana ni haohao viongozi wa CCM, kwa kulaumu mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara kuwa ndio hawajafanya uhamasishaji kwa wananchi ili wajiandikishe.

Mh. Suleiman Jaffo, Waziri wa Nchi O.R TAMISEMI amewashitaki kwa Rais wasimamizi wote wa mikoa hii ya Kaskazini kwamba uandikishaji ni hafifu Mnoo kwakuwa hawajahamasisha. Haijatosha ametoa agizo kuwa sasa ni lazima wananchi waandikishwe kwa zaidi ya 50%

Kingine tena, Leo wasimamizi wameagiza tena waandikishaji wapite nyumba kwa nyumba kuandikisha.

Waandikishaji nao wanagoma kwenda mpaka walipwe kwasababu sehemu nyingi zipo remoted na mbali...na pia ni kazi ngumu kwakuwa mwanzoni walikubaliana kukaa katika vituo rasmi vya kuandikishia.

SWALI LA MSINGI : Kwanini mnalazimisha watu kujiandikisha?

Hata sehemu isiyo na Upinzani kabisa kama Same na tambarare ya Mwanga ambapo CCM inatawala siku zote pia wananchi wengine hawajiandikishi.

TATIZO NI NINI?

Siku zote ''Mshahara wa Dhambi ni Mauti''

Haya ni Mauti kwa upande wa kaskazini.
Kumbukeni hata wajiandikishe mgombea na mke wake watakua washindi wao, kama watu hawatajiandikisha tusilete lawama hapa
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
84,167
Points
2,000
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
84,167 2,000
Mkuu Pohamba umemgeuka mwana wa mfalme?
Makonda mwaka huu akipona akachinje Kuku katikati ya Bahari

Wameanza kumtafuta kwenye Miradi, kaacha Longolongo siku hizi analala site Vingunguti akina Jaffo wamebadili Gia Angani sasa wanasema wanapima utendaji wake kwa kuangalia idadi ya waliojiandisha kwenye daftari la Wapiga kura
 
At Calvary

At Calvary

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Messages
1,505
Points
2,000
At Calvary

At Calvary

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2018
1,505 2,000
Watakaojiandikisha ndio watakao piga kura.
 
C

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2019
Messages
4,774
Points
2,000
C

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2019
4,774 2,000
Wajiandikishe kufanya nini? Si mtangaze tu wagombea wote wa CCM wameshinda? Tatizo nini mnataka idadi?
 
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
15,705
Points
2,000
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
15,705 2,000
Sasa Wakubwa wanaona Aibu ikijulikana kuwa walishinda bila demokrasia.

So wanataka ijulikane rasmi kuwa waliruhusu upinzani nao wapewe nafasi katika nchi inayofuata demokrasia.
Wajiandikishe kufanya nini? Si mtangaze tu wagombea wote wa CCM wameshinda? Tatizo nini mnataka idadi?
 
MasterP.

MasterP.

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Messages
6,493
Points
2,000
MasterP.

MasterP.

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2013
6,493 2,000
Sasa kama rais mwenyewe ambaye ni mwenyekiti wa chama tawala alishasema wazi kabisa na bila kificho kuwa hatarajii watu anaowateua na kuwalipa mshahara, kuwapa gari na nyumba halafu wanaposimamia uchaguzi wamtangaze mgombea wa upinzani kushinda, Hivi katika mazingira kama hayo ambapo matokeo "yatalazimishwa" kushinda mgombea wa CCM kwa hali yoyote ile, kuna haja gani ya mtu mwenye akili zake timamu kwenda kujiandikisha achilia mbali kupiga kura?????!!!!!

Kwa nini nipange foleni nikachomwe na jua ili hali nina uhakika kuwa maamuzi ya kura yangu hayataheshimiwa??
 
Ndikwega

Ndikwega

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Messages
5,815
Points
2,000
Ndikwega

Ndikwega

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2012
5,815 2,000
Nilichopenda saana Safari hii, ni Kuwa Wananchi wenyewe Wameamua Kujitambua na Kujisimamia. Hata angetokea nani Kuwahamasisha kujiandikisha na kupiga kura bado Wasingefanya hivyo.
Ni hatua Nzuri kwakweli.
 
Kagemro

Kagemro

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2010
Messages
1,145
Points
1,500
Kagemro

Kagemro

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2010
1,145 1,500
Habarini Wadau,

Ninasema wazi kabisa ninachokishuhudia katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura katika kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, yaani Wenyeviti wa Kijiji, wenyeviti wa Kitongoji na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya vijiji.

Kwakweli katika Wilaya nyingi wananchi HAWAJIANDIKISHI KABISA, kwa anayebisha apite katika vitongoji karibu vyote, Wananchi hawataki kujiandikisha.

SABABU WANAZOTOA :- Wengi wa wananchi wanalalamika kwa kubanwa kwa wagombea wao wa vyama vya upinzani ambao walikuwa tayari kuwachagua.

Unakutana na wananchi wanakuambia wazi kabisa ''Sina muda mchafu'' wa kujiandikisha na kupiga kura kwasababu watakaoshinda kwa hila na nguvu wanajulikana.

Nailaumu CCM, hususan Mwenyekiti wao aliyewanyima wapinzani haki yao ya kujieleza kwa Wananchi wao.

Sasa naona wanaoweweseka sana ni haohao viongozi wa CCM, kwa kulaumu mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara kuwa ndio hawajafanya uhamasishaji kwa wananchi ili wajiandikishe.

Mh. Suleiman Jaffo, Waziri wa Nchi O.R TAMISEMI amewashitaki kwa Rais wasimamizi wote wa mikoa hii ya Kaskazini kwamba uandikishaji ni hafifu Mnoo kwakuwa hawajahamasisha. Haijatosha ametoa agizo kuwa sasa ni lazima wananchi waandikishwe kwa zaidi ya 50%

Kingine tena, Leo wasimamizi wameagiza tena waandikishaji wapite nyumba kwa nyumba kuandikisha.

Waandikishaji nao wanagoma kwenda mpaka walipwe kwasababu sehemu nyingi zipo remoted na mbali...na pia ni kazi ngumu kwakuwa mwanzoni walikubaliana kukaa katika vituo rasmi vya kuandikishia.

SWALI LA MSINGI : Kwanini mnalazimisha watu kujiandikisha?

Hata sehemu isiyo na Upinzani kabisa kama Same na tambarare ya Mwanga ambapo CCM inatawala siku zote pia wananchi wengine hawajiandikishi.

TATIZO NI NINI?

Siku zote ''Mshahara wa Dhambi ni Mauti''

Haya ni Mauti kwa upande wa kaskazini.
Huu ni upumbavu uliopitiliza. Watu kutojiandikisha mnamlaumu mtu na kushinda kwenye mitandao.
Wakati hata ulaya na marekani mnapofikiri demokrasia imekuwa wanapita Nyumba Kwa Nyumba kuomba watu wajiandikishe.
Na siku ya kupiga kura volunteers wanaenda Nyumba Kwa Nyumba kupeleka watu vituoni.

Ninyi wapinzani mabwege pelekeni ujinga nyumbani.
 
2018

2018

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2018
Messages
304
Points
500
2018

2018

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2018
304 500

Tena msipojiandikisha ndo tutashinda kirahisi zaidi
 
N

Nanye Go

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Messages
5,437
Points
2,000
N

Nanye Go

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2018
5,437 2,000
Sasa Wakubwa wanaona Aibu ikijulikana kuwa walishinda bila demokrasia.

So wanataka ijulikane rasmi kuwa waliruhusu upinzani nao wapewe nafasi katika nchi inayofuata demokrasia.
Uchaguzi ni watanzania, ijulikane kwa nani tena? Hawa waliisha amua mpige kura msipige watashinda wao, pesa mkiwanyima WANAKULA HATA ZA bILIGATE ZILE ZA MALARIA, NA HIV RESERCH.
 
mistari4G

mistari4G

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2019
Messages
376
Points
500
mistari4G

mistari4G

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2019
376 500
Unashikilia dola
Umekamata bunge
Tume ya uchaguzi ni yako
Ushasema unawalipa mshahara,unawapa na nyumba halafu watangaze upinzani
Ulisema hakuna siasa

Ya nn ss ukumbushe kuna kujiandikisha?
 
Ileje

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Messages
5,539
Points
2,000
Ileje

Ileje

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2011
5,539 2,000
Huu ni upumbavu uliopitiliza. Watu kutojiandikisha mnamlaumu mtu na kushinda kwenye mitandao.
Wakati hata ulaya na marekani mnapofikiri demokrasia imekuwa wanapita Nyumba Kwa Nyumba kuomba watu wajiandikishe.
Na siku ya kupiga kura volunteers wanaenda Nyumba Kwa Nyumba kupeleka watu vituoni.

Ninyi wapinzani mabwege pelekeni ujinga nyumbani.
Mpumbavu!
 
Forum statistics

Threads 1,402,643
Members 530,953
Posts 34,400,997
Top