CCM Oyeeeeeeeee!!!!!!!!!!!! Kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji!!!!!!!! Maji ya moto hayaunguzi nyumba!!!!!!!!!!!! Kelele za mpangaji hazimnyimi usingizi mwenye nyumba. Subirini hadi 2015 labda ndiyo yatatokea mabadiliko. Sasa hivi mlie tu.
MPO WASHIKAJI ??????? Hata mkinuna haisaidii. Bye.
jf jana kiukweli dodoma kulikuwa hakukaliki, mpaka kikao kinahairishwa hakuna muafaka wowote ule, bali wakaamua kutumia vyombo vya habari kutuliza ghasia kwa wananchi ila mambo si shwari kabisa , wajumbe wamegawnyika makundi matatungonjera tu hizo...
jamani ya jana yalikuwa makubwa sana dodoma ccm ndiyo mwisho
Kilewo,
Hauleweki, tueleze kinagaubaga yaliyojiri. CCM mwisho kivipi? na Kamati ya Mwinyi ndio hiyo imepewa miezi 2!!!
jamani ya jana yalikuwa makubwa sana dodoma ccm ndiyo mwisho
Hii JF ina watu wako kama yule fisi anayesubiri mkono wa binadamu udondoke, mtasubiri maisha. Mkitaka kuiondoa CCM mpaka mupambane nayo na wala sio kutegemea eti watagombana na kisha kutengana.
CCM wanafanya hii circus kwa sababu hakuna upinzani wenye nguvu, siku wakigundua kuna hatari ya kuondolewa, watu kama akina Chenge hawatabaki madarakani.
Upinzani kazi yao kushinda JF badala ya kwenda kwa wananchi vijijini.
Hv, mbona mie sidanganyiki na CCM? Hao wanaodanganyika na kuvaa nguo zile za kijani, kukesha kwenye vikao vyao na kuwapigia kura huwa wanapewa nini? Naomba kura yangu na yakwako kwa mara nyingine tena ziungane kuing'oa CCM kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu. Jiandikishe kwenye daftari la wapiga kura kama bado hujafanya hivyo.
- Mkuu watu wenye akili nyingi sana duniani wanapokwama hurudi kwenye msingi wa walipotokea, binafsi ninakumbuka Lowassa na Rais wa sasa wakiitwa Boyz To Man, wakakodiwa ndege maalum ya kuwapeleka Dodoma dakika za mwisho wa kikao cha NEC ili wawe alternative ya kugombea urais, wananchi wa taifa hili we never questioned nani amelipia ile ndege, na WHY? Lowassa na Rais wa sasa nani aliwaita dakika za mwisho kwenda Dodoma kwa sababu no question kwamba hawakuitwa na Mwalimu!
- Lowassa alikuwa njiani kugombea urais ninachojua ni kwamba he was a serious candidate kuliko Rais wa sasa, sasa ilikuwaje akaamua kukaa pembeni na kumuachia Muungwana? Kuna dataz moja niliwahi kuzipata then, one time Lowassa alikuwa mahali akizungumza na mtu kwa siri sana, aliulizwa vipi Urais, akamjibu yule mtu tena with confdence sana kwamba "..ninaweza kuwa rais nikitaka maana this is my chance, lakini siwezi kuharibu utamaduni ambao inayokuja ni zamu ya Muisilamu kuwa Rais..." akaendelea "..mimi na Jakaya ni kitu kimoja, tumeongea na nimemfahamisha hilo kwamba ninamuachia kwa sasa.." haya yote niliyasema zamani
- Kwamba Lowassa atapata matatizo ya kisheria under Muungwana's watch haitakuja kutokea, kwamba atakuwa Rais in our watch ninasema haitakuja kutokea unless CCM ivunjike, yanayotukuta sasa ni matatizo tuliyoyataka wenyewe wananchi na hasa hawa waandishi wetu wa habari, we were so happy na political deals za short terms bila kujua nini hasara zake in the long terms na ndio what we are paying for now, Lowassa is fine for now, ingawa matatizo yake kisheria yapo pale pale ndio maana Rostam anayejua better analilia sana majaji kuamua kuhusu Richmond.
- Wananchi tunahitaji kua macho sana, ninaamini sana kwamba huyu Lowassa anajua kwamba yeye alivyo hawezi kugombea urais, isipokuwa kwa sababu he is so determined kua Rais, ataishia siku moja kutupiga changa zito sana la macho, ninaamini and I could be wrong pia, kwamba ata-push to end kugombea urais 2010 akijua sana kwamba hawezi kupata nafasi, in the process ataisukuma na kui-pressure our political system nzima to the wall that kutakua na a political deal ya kumrudisha kwenye power under some capacity, itakapofika 2015 Lowassa atamuweka mtu wake kuchukua urais halafu yule mtu hatamaliza kwa sababu atakazopewa na Lowassa yaani atajiuzulu, hapo ndipo huyu Lowassa ataliliwa na chama kizima achukue Urais ndio the only chance aliyonayo na ninaamini ndiyo njia atakayotumia kushika urais kama ndoto yake inavyomtuma.
Respect.
FMEs!
jamani ya jana yalikuwa makubwa sana dodoma ccm ndiyo mwisho
Kilewo, tupe kulichijiri mpaka mwisho jana kaka!Wajumbe wasema Lowassa awajibishwe kwakuwa chama kimechafuka sana na asipo wajibishwa wasilaumiwe kwa yale yatakayo tokea.
Upande wa Lowassa wasema hamna cha kumuwajibisha Lowassa kama ni suala la ufisadi chama kiwajibike na si Lowassa
Kilewo
Mbona hutupi majibu ya request ya jana, una maana gani , information unazotoa haziungiki bwana??!!
Kilevi/Kilewo vipi?, si uweke mambo wazi