CCM pawaka moto Dodoma

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,084
Wajumbe wasema Lowassa awajibishwe kwakuwa chama kimechafuka sana na asipo wajibishwa wasilaumiwe kwa yale yatakayo tokea.

Upande wa Lowassa wasema hamna cha kumuwajibisha Lowassa kama ni suala la ufisadi chama kiwajibike na si Lowassa
 
Naomba moto uendelee kuwaka,tena usiwake ni bora kulipuka kabisa if that could be a solution to rescue our country,i mean if that is what it takes to restore our intergrity and dignity as citizens of an independent state.Mungu Ibariki Tanzania,ni bora unabii utimie huko.
 
asante kwa taarifa, ila naombea Lowassa agome kuwajibika maana Kikwete hawezi kumwajibisha hii itasaidia kukipasua Chama hicho, nahamu yakuona kikifa kabisa natukakizike bbahari ya Hindi jirani na mpaka wa Mozambique ili kibembwe na mkondo wa maji baridi.
 
wajumbe wasema lowassa awajibishwe kwakuwa chama kimechafuka sana na asipo wajibishwa wasilaumiwe kwa yale yatakayo tokea, upande wa lowassa wasema hamna cha kumuwajibisha lowassa kama ni suala la ufisadi chama kiwajibike na si lowassa,

Ahsante mkuu kwa taarifa. Ila kwa usanii wao hawa jamaa wanatuzuga tu. Baada ya huu mkutano hutashangaa wakiangusha bonge la party! Ni usanii juu ya usanii. Wale wanaoona chama kimechafuka wanangoja nini?
 
asante kwa taarifa, ila naombea Lowassa agome kuwajibika maana Kikwete hawezi kumwajibisha hii itasaidia kukipasua Chama hicho, nahamu yakuona kikifa kabisa natukakizike bbahari ya Hindi jirani na mpaka wa Mozambique ili kibembwe na mkondo wa maji baridi.

Mkuu haiwezekani hiyo. Labda RA aamue.
 
Tumezoea haya wakitoka huko lao moja kama kumuwajibisha si ilikuwa bungeni katika mjadala wa Richmond?
 
Vyama pinzani vimelala badala ya kuzinduka na kujinadi as vyama mbadala wao wanasubiria mpaka ccm wakae sawa ndipo waingie nao ktk kilinge.
 
Vyama pinzani vimelala badala ya kuzinduka na kujinadi as vyama mbadala wao wanasubiria mpaka ccm wakae sawa ndipo waingie nao ktk kilinge.

AAhh hao nao sasa hivi ndiyo ilikuwa waanze kitimutimu operation Nyangumi siyo sangara tena
 
kuna hatari, huku ndan hakutamaniki kabisa.
mkulu yupo kimya anawaangalia waheshimiwa wanavyotupiana maneno.

naona makundi mawili huku ndani ila kusema kweli kundi la lowasa lina nguvu sana.

muheshimiwa mmoja amesema ili aman ya yerusalem(nadhan anamaanisha Tz) ipatikane inabidi lowasa awajibishwe. la sivyo hata akifa na akamkuta lowasa mbinguni kwa Mungu baba basi atamuomba Mungu ampeleke jehanam kuliko kukaa pepon na lowasa''.
 
Yaaani siyo pamewaka moto Hao Wamezuzuka! Wamekuwa Mazuzu
NATAMANI Lowassa amkunje Spika, spika amkunje RA, RA amkunje mama Kilango, mara Malecela aingilie kati.....watu weweee, na wakiue tu chama chao, kinanuka.
 
kweli kabisa tunasubiri kwa hamu unaabiwa jk hana hamu anatamani asingekuwa m/kiti

Hivi ndugu yangu kilewo... ndio taratibu za chama chenu kutoa kila siri za kikao? au ni vipi? naona kila wakibana nyeti zinatoka nje

next time ntawashauri wakafanyie kikao mikese huko
 
wajumbe wasema lowassa awajibishwe kwakuwa chama kimechafuka sana na asipo wajibishwa wasilaumiwe kwa yale yatakayo tokea, upande wa lowassa wasema hamna cha kumuwajibisha lowassa kama ni suala la ufisadi chama kiwajibike na si lowassa,

Heshima kwako Kilewo,

Asante kwa taarifa nzuri ila kama vile siamini nilichokisoma,kwa uzoefu wangu hakuna jambo la maana ingekuwa enzi za Mwl J Kambarage Nyerere tungesikia mambo ya maana.Muungwana kashindwa kuendesha nchi na chama nacho kimemshinda unategemea nini kutoka kwa Mama S Simba,Kingunge,Karamagi,Chenge,Makamba,Komba & Co.
 
hehehehe
EL, RA, NK, FS et all ni wahuni na wanzandiki haswa.

Kwa kuwa wanalindwa na TISS basi hakuna jipya hapo zaidi ya mwendelezo wa sarakasi
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom