CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeee..... chama la wajanja,chama kuuuuuuubwaaa...

sikupingi na wala sikuungi mkono naamini katika
uhuru wa kutoa maoni.
ila nadhani ukubwa we chama na idadi ya wajanja
siyo tija la msingi sana katika nchi hii ni nidham na
uzalendo hata kama chama ni kidogo na hakina watu wajanja
kama kina watu wazalendo ndyo la msingi.

ME NADHANI ELEZEA NIDHAM NA UZALENDO WA VIONGOZI
WAKO NA WANACHAMA KWA UJUMLA KUIHUSU NCHI AHSNTE
...................NAOMBA KUWAKILISHA...................................
 
Hongereni maana safari hii mme resit mitihani ya form 4 2012,badala ya wanafunzi ku resit.mna akili sana
 
Uzalendo kwanza endelea kupongeza chama,we usifikiri utaifanyia nini Tanzania kwa faida yako na vizazi vyako ngojea kufanyiwa.
 
Hivi hapa ni wapi?
Maana nilidhali hili cha CCM lipo sokoni.
Maana nilikuja mitaa kutafuta aseti fulani hivi nakutana na huu uzi!
 
nalipenda hili chama, sidhani kama kuna chama zaidi ya hili kwa miaka ya karibuni...wapinzani jipangeni sana...ila kiukweli ccm inatisha mzee....kila kona ipo vizuri..ofcoz mambulula wapo ila wachache, ila ina vichwa zaidi ya chama chochote kile tanzania...ntarudi tena kama mnabisha



njaa za wapinzani zitaua nchi kwa uchonganishi....



"vua gamba vaa gwanda"
 
Inahitaji uwe na mtindio WA akili kuisapoti hii chama
 
Nalipenda hili chama, sidhani kama kuna chama zaidi ya hili kwa miaka ya karibuni...wapinzani jipangeni sana...ila kiukweli CCM inatisha mzee....kila kona ipo vizuri..ofcoz mambulula wapo ila wachache, ila ina vichwa zaidi ya chama chochote kile Tanzania...ntarudi tena kama mnabisha

NJAA ZA WAPINZANI ZITAUA NCHI KWA UCHONGANISHI....
Liberal Thoughts!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom