Elections 2010 Ccm oyeeeeeeeee

kauzu

Member
Oct 4, 2010
74
3
NAJITOKEZA KUIPONGEZA CCM SIKU CHACHE BAADA YA KUCHAKACHUA KURA NA KUPATA KUSHINDA UBUNGE NA URAISI KILOMBERO,BEI YA CEMENTI YAPANDA KUTOKA 12,500-14,000 KWA MFUKO,NA HIYO NDIYO MAANA HALISI YA KASI MPYA ZAIDI,ARI MPYA ZAIDI NA NGUVU MPYA ZAIDI KATIKA KUMKANDAMIZA MTANZANIA.HAYA NDIYO MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA,CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Huyu naye vipiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii????????????????

Si utafute title ingine!?
 
kawaida tu subiri sukari itakapopanda kufikia ths 6,000/= kwa kilo
 
kwangu kila mwanaccm na alieichagua ccm naona hawana tofauti Kimawazo na mtoto huyu

 
Itashindwa kupanda wakati mwenzako yuko lala salama. Baada ya Dhifa pale ikulu alifanya nyingine kule kwao Chalinze, kuna nyingine itafanyika Dodoma, baada ya hapo atafanya kila mkoa kujipongeza, akimaliza anaanza kwenda kuaga na kujipongeza nje ya nchi.
 
poor6.JPG

Mama anaponda kokoto, mtoto kalazwa kwenye mfuko wa cement!
Mungu saidia...!
 
poor6.JPG

Mama anaponda kokoto, mtoto kalazwa kwenye mfuko wa cement!
Mungu saidia...!
Mkuu, ukiangalia hapo pembeni kuna kokoto zinagongwa hapo, inamaanisha mtoto kaja mama yake chimboni, mama anapasua kokoto, mtoto anakula vumbi hapo na jua la kutosha.
 
Back
Top Bottom