CCM of 2010 is the Best Ever!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM of 2010 is the Best Ever!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by RAJ PATEL JR, Sep 10, 2010.

 1. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM is the best ever. Look at the accomplishments that JK administration has been able to accomplish!
  More and more students are enrolling in our local universities. The economy has been steadily growing at a significant rate, among the fastest growing in continental Africa.

  The CCM has had the best cabinet team ever to be assembled by any Tanzanian prez. At least every cabinet minister has either Masters or PhD.

  The infrastructure has been developing tremendously. More towns in the countryside will be transformed into modern metropolitans. Look at Mwanza of 2010!...it's vibrant and swanky than ever before. It's location and modernity reminds me of Chicago.

  More and more flights are coming to DIA and KIA now than ever before. More and more embassies have been established in Tz. than ever before.

  More than 1 million foreign tourists will be coming to Tz. in the next decade making our country the next Cancun or Vegas.

  Above all CCM has maintained peace and security in this great nation without marginalizing the minority Tanzanians esp. of Asian origin.

  What else do you guys from the opposition want?

  Vote CCM, Vote JK and the best things are yet to come..you ain't see nothing yet.

  Go Jakaya!!
   
 2. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #2
  Sep 10, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  pum'avu
   
 3. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2010
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,402
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  What kind of Tender have you floated?
   
 4. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2010
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,402
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  You have to ask India first to abolish those casts before coming here to preach your rubbish! By the way are you still demonstrating for other casts not to become doctors?
   
 5. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  RPJr,
  Naomba uniambie katika mambo haya matatu(umasikini, maradhi, ujinga) lipi limefanikishwa kuondolewa na utawala wa CCM kwa kipindi chote cha miaka zaidi ya 40 ya utawala wake, hasa kwa mtu masikini wa kijiji huko?
   
 6. Yombayomba

  Yombayomba JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2010
  Joined: Aug 23, 2006
  Messages: 818
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mdosi anamwaga cheche ha ha ha
   
 7. U

  Ujengelele JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2010
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 1,256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Another Richmond is just around the corner. Oh! Nchi yangu Tanzania nakulilia sana mafisadi wa ndani na nje ya nchi wamekuteka nyara.
   
 8. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  ungemalizia who controll 90% of the economy. Inaelekea ndio maana unaiabudu CCM kwa sababu ya kulinda na kuachia hali ya sasa ya uchumi ilivyo.

  Vyuo Vikuu: ngojea uone bomu litavyolipuka, baada ya miaka 6

  elimu za mawaziri: tunataka matokea ya kazi za hatutaki kutundika vyeti vya elimu ofisini, je kazi wanafanya kufikia malengo ya mtanzania?

  miundobinu: labda hauko tanzania ndio maana unapuliza zumari. Barabara zinazojengwa nyingi ni muendelezo ya miradi ya rais aliyepita, za kwao labda ni zile alizoahidi George Bush. Miji endelevu unayoisema ni ile inayojaa maji pindi mvua zinyeshapo? miji inayonuta majitaka na takataka zisizozolewa kila siku? Umeupenda mwanza shauri ya majengo ya NSSF na PPF na hela ulizozolita wewe na ndugu zako na kujenga nyumba na kudai kodi kwa US $ na kurudisha hela huko huko ulioko?

  DIA (JKNIA) kwa taarifa yako na Kia elewa kuwa tanzania ni nchi pekee ambayo haina shirika lake la ndege inatia aibu na limeuwawa na CCM kwa uroho wao, watalii hawatusaidii sana sisi watanzania wanakuja na ndege zao wanalipa kwa hela ya plastiki na kama kuna kitu tunaambulia ni makombo tu?

  Kwa kweli tunataka mabadiliko, miaka 50 baada ya uhuru nchi yenye rasilimali kama yetu ilitakiwa iwe mbali sana sio kama ilivyo sasa na hii ni sababu CCM na watu wa asian origini kama unavyowaita ndio walioatamia uchumi wa nchi, tunataka mtu atakewafanya watanzani wote waatamie uchumi wa nchu kwa ni wetu sote.

  Tunataka mabadiliko
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  @#*^&%....Ngoja nifanye mazoezi maana naona mshatufanya watanzania ni wajinga
   
 10. M

  Masauni JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  You don't know what you are talking about, I think you are one of mafisadi.
   
 11. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,466
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Kama mikakati ya Serikali ya CCM kukuza utalii kwa kuleta watalii kutoka nje kufikia millioni mmoja kwa mwaka,litatimizwa miaka kumi ijayo mbona ni tusi kubwa? Nchi ndogo kama Singapore inalingana karibu na wilaya ya Kinondoni inapokea watalii millioni 9 kwa mwaka.Raj Patel mmechemsha.
   
 12. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #12
  Sep 10, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Huyu ndiye Raj Patel Jr, Msome yeye ni nani:

  Anakubali kuwa yeye sio mtanzania, ana uhalali gani wa kutuambia nini ni kizuri kwetu, aache upuuzi na ubaradhuli wake akae kimya kabisa, awaambie wenzie wa Congress Party na Janata Party jinsi ya kupiga kura na kuchagua viongozi hatuhitaji ushauri wake
   
 13. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #13
  Sep 10, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Narudia tena msishiriki katika thread za kipumbavu kama hizi mnawapa tu nguvu hawa wapambe wa mafisadi...lengo lao kutupotosha na kutufanya tujadili CCM kwa mazuri yao.... tusipotoshwe... sisi tuendelee kujadili mada muhimu za maendeleo. Asanteni.
   
 14. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #14
  Sep 10, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 180
  Kwa jina hilo tu hata sishangai!
   
 15. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #15
  Sep 10, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  I will write in English as it seems you do not have a grasp of Swahili, a language which most true Tanzanians speak, something which I doubt you are not, I suppose.

  Why don't you mention anything about the millions of poor peasants and workers. Whose security are you talking about here? From your post, it seems that you are mostly preoccupied with the cosmetic changes that have been done to support and maintain the livelihood and lifestyles of bourgeois, be it political, economic and their thieving international supporters. You support ccm because you want to maintain the status quo, where ordinary Tanzanians would stay disadvantaged forever. The time of change has arrived, we want our country back! We want our resources back. We want our DIGNITY back. I know you are running scared. You should be very scared, because your lives will never be the same again.
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  Sep 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mkuu Dingiswayo,
  Huyu hawezi kujua kitu chochote kinachohusu peasants, petty-traders, wala workers!
  What cn u xpect from a people who leaves in a city centre, encycled in a shop for centuries?
  Ataongea upupu tu just like you see!..huh!
   
 17. P

  PR Member

  #17
  Sep 10, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama kuna nchi yeyote hapa duniani ambapo hakuna maskini, maradhi na ujinga, kama ipo nitajie. Tuache blabla mafanikio yapo sana ukilinganisha na huko tulikotoka na pia nji zingine. BRAVO CCM NA JAKAYA.
   
 18. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #18
  Sep 10, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  I ask you: Why should any successes be advertised? Successes are things which people see for themselves. You advertise them because these are not seen -- or only seen with greatest difficulties! You are the ones among millions in TZ who see darkness as light and vice versa!
   
 19. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #19
  Sep 10, 2010
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Tafadhali hebu nijuze uzuri wa nchi hii kufanana na Vegas uko wapi?

  Hapo naafikiana na wewe kwa asilimia 100, bado hatujaona lolote mpaka sasa.
   
 20. MAWANI

  MAWANI Member

  #20
  Sep 10, 2010
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  My only comment that I can make here is that CCM is for non-afrcan Tanzanian Citizen only. Very few (about 5%) of African Tanzanians benefit from the economy of this country. for your info, more that 50% of public health facilities has medicines that last for two weeks in every month. even a child whose age is few hours misses medicines " hatuna dawa, chukua hii karatasi ununue dawa" those pharmacies are not even available in villages.
   
Loading...