Uchaguzi 2020 CCM Oktoba itapata tabu sana, nasema itapata tabu sana!

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
CCM itachakazwa na kugaragazwa kama mbwa koko. Mipango yote imekamilika.

Kwanza tutadukua ujinga wake wote, sasa wako uchi wa mnyama.

Pili mipango kabambe tulishaimaliza, sasa vyama washirika wa CCM na CCM yenyewe walishaenea kwenye kiganja.

Lissu kaingia mpaka ndani ya Tanzania na yupo salama. Vijana tumefanya kazi! Tupo imara!

Subirieni mtanange kwanza tunawasambaratisha kwa fitina kisha tunawagaragaza uwanjani.

Hakuna tena mzaha!
 
Pili mipango kabambe tulishaimaliza, sasa vyama washirika wa liccm na liccm lenyewe walishaenea kwenye kiganja.

Lissu kaingia mpaka ndani ya Tanzania na yupo salama. Vijana tumefanya kazi! Tupo imara! Subirieni mtanange kwanza tunawasambaratisha kwa fitina kisha tunawagaragaza uwanjani. Hakuna tena mzaha!
G Sam
Yaani kwa taarifa hii, unataka vitanda visilalike kule Chamwino?

Unataka kumtoa nduki tena arudi Chatooo kama alivyofanya wakati wa corona??
 
CCM Hawajielewi kabisa na bado hawawezi kusoma alama za nyakati.Na wasifikilie kuwa hiyo alliance yao na NCCR Mageuzi itawasaidia kitu, hiyo ndo itawamaliza zaidi.
 
CCM itachakazwa na kugaragazwa kama mbwa koko. Mipango yote imekamilika.

Kwanza tutadukua ujinga wake wote, sasa wako uchi wa mnyama.

Pili mipango kabambe tulishaimaliza, sasa vyama washirika wa CCM na CCM yenyewe walishaenea kwenye kiganja.

Lissu kaingia mpaka ndani ya Tanzania na yupo salama. Vijana tumefanya kazi! Tupo imara!

Subirieni mtanange kwanza tunawasambaratisha kwa fitina kisha tunawagaragaza uwanjani.

Hakuna tena mzaha!
Hahahaaaa...... Chadema hii hii ya akina Sungura?!!
 
CCM itachakazwa na kugaragazwa kama mbwa koko. Mipango yote imekamilika.

Kwanza tutadukua ujinga wake wote, sasa wako uchi wa mnyama.

Pili mipango kabambe tulishaimaliza, sasa vyama washirika wa CCM na CCM yenyewe walishaenea kwenye kiganja.

Lissu kaingia mpaka ndani ya Tanzania na yupo salama. Vijana tumefanya kazi! Tupo imara!

Subirieni mtanange kwanza tunawasambaratisha kwa fitina kisha tunawagaragaza uwanjani.

Hakuna tena mzaha!
Natamani unayoyasema yawe kweli ila yatakuawaje kweli iwapo hatuna TUME HURU YA UCHAGUZI? Uchaguzi wa Oktoba kwa wapinzani ni kupoteza muda tu.
 
CCM itachakazwa na kugaragazwa kama mbwa koko. Mipango yote imekamilika.

Kwanza tutadukua ujinga wake wote, sasa wako uchi wa mnyama.

Pili mipango kabambe tulishaimaliza, sasa vyama washirika wa CCM na CCM yenyewe walishaenea kwenye kiganja.

Lissu kaingia mpaka ndani ya Tanzania na yupo salama. Vijana tumefanya kazi! Tupo imara!

Subirieni mtanange kwanza tunawasambaratisha kwa fitina kisha tunawagaragaza uwanjani.

Hakuna tena mzaha!
Umekuwa kama Iddi Amin wakati wa vita vya Kagera? Alisema atapiga mpaka Dasalaam.
 
CCM itachakazwa na kugaragazwa kama mbwa koko. Mipango yote imekamilika.

Kwanza tutadukua ujinga wake wote, sasa wako uchi wa mnyama.

Pili mipango kabambe tulishaimaliza, sasa vyama washirika wa CCM na CCM yenyewe walishaenea kwenye kiganja.

Lissu kaingia mpaka ndani ya Tanzania na yupo salama. Vijana tumefanya kazi! Tupo imara!

Subirieni mtanange kwanza tunawasambaratisha kwa fitina kisha tunawagaragaza uwanjani.

Hakuna tena mzaha!
Kama mmeshindwa kabisa hata kufanya mkutano mkubwa wa madhara ndani ya miaka minne, ndani ya Mwezi Oktoba ndio mtaweza?

Kujifurahisha tu katika maswala ya msingi badala ya kujipangia kimkakati!
 
CCM itachakazwa na kugaragazwa kama mbwa koko. Mipango yote imekamilika.

Kwanza tutadukua ujinga wake wote, sasa wako uchi wa mnyama.

Pili mipango kabambe tulishaimaliza, sasa vyama washirika wa CCM na CCM yenyewe walishaenea kwenye kiganja.

Lissu kaingia mpaka ndani ya Tanzania na yupo salama. Vijana tumefanya kazi! Tupo imara!

Subirieni mtanange kwanza tunawasambaratisha kwa fitina kisha tunawagaragaza uwanjani.

Hakuna tena mzaha!
Hamna uwezo wa kuitoa ccm madarakani msijidanyane
 
CCM itachakazwa na kugaragazwa kama mbwa koko. Mipango yote imekamilika.

Kwanza tutadukua ujinga wake wote, sasa wako uchi wa mnyama.

Pili mipango kabambe tulishaimaliza, sasa vyama washirika wa CCM na CCM yenyewe walishaenea kwenye kiganja.

Lissu kaingia mpaka ndani ya Tanzania na yupo salama. Vijana tumefanya kazi! Tupo imara!

Subirieni mtanange kwanza tunawasambaratisha kwa fitina kisha tunawagaragaza uwanjani.

Hakuna tena mzaha!
Usimuamshe aliyelala
 
Upinzani nchi hii bado sana yaani upinzani kuchukua hii nchi bado sana. Pambaneni na nafasi ya ubunge na udiwani kwanza tena muweke mipango ya miaka 25 mbele kuweza kuwa na idadi ya wabunge sawa na chama tawala ndio muwaze uraisi
 
CCM itachakazwa na kugaragazwa kama mbwa koko. Mipango yote imekamilika.

Kwanza tutadukua ujinga wake wote, sasa wako uchi wa mnyama.

Pili mipango kabambe tulishaimaliza, sasa vyama washirika wa CCM na CCM yenyewe walishaenea kwenye kiganja.

Lissu kaingia mpaka ndani ya Tanzania na yupo salama. Vijana tumefanya kazi! Tupo imara!

Subirieni mtanange kwanza tunawasambaratisha kwa fitina kisha tunawagaragaza uwanjani.

Hakuna tena mzaha!
.
IMG_20200531_072737_186.jpg

Jr
 
Back
Top Bottom