CCM; Ochele Obuto hafai kuwa mbunge wa Rorya

MJENGA

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
884
848
Taarifa za ndani kutoka katika mtandao wa mbunge Lameck Airo wa jimbo la Rorya zinasema kuwa mbunge huyo ameanza kumwandaa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Rorya Ochelle Obuto ili arithi mikoba ya ubunge 2015.

My take: Ochelle ni mbumbumbu wa kutupwa na pia elimu yake mbovu. Ni mtu mmoja ana kiburi na majivuno ya pesa. Anaiendesha halmashauri kama NGO yake. Kawabana madiwani hawapumui. Anatetea wakuu wa Idara mafisadi ambao anakuwa na manufaa nao katika zabuni mbalimbali, mfano ni mhandisi Julius Kahena ambaye serikali ilimhamisha na kumshusha cheo kwasababu ya ufisadi, mwenyekiti anadaiwa kumtetea tamisemi ili abaki Rorya. Hadi sasa Kahena hajahama!. CCM ikimsimamisha Ochelle 2015 jimbo limekwenda na maji kwani jamaa ni hovyo kabisa.
 
Mkuu mbona CCM hatuwataki tena, haijarishi CCM watamsimamisha nani mbele mziki wa CHADEMA hakuna wa kufua dafu tena.

Waache hao mazezeta wa CCM wakamuane wenyewe
 
Haya ni matusi kwa wapiga kura wa Jimbo la Rorya, na ni haibu kubwa kwa wasomi wetu wa Rorya!
kumweka huyo Jamaa bora Jimbo libaki bila mwakilishi kabisa! haiwezekani jimbo kuwakilishwa na
wezi! kwanza amewafilisi wavuvi wadogowadogo kwa kuwaibia na kuwanyonya kwa mikopo isiyolipika!
nani amewaambia Jimbo hilo ni la kuongozwa na wajinga??

Lakini pia hili liwe ni fundisho kwa wasomi wote ndani ya Rorya, walimpa uwakilishi msomi wao Advocate Mabere Marando Nyahucho, wakampa tena Professor Sarungi Ologi lakini wasomi hawa waliishia kufanya matumbo tu! ndo maana sasa hata
wasiojua kusoma na kuandika lakini wananguvu ya fedha wanaona wanastahili kuiwakilisha Jimbo!

Lakini pia ni aibu kubwa kwa chama kongwe kama cha KIJANI kuteua wawakilishi vihiyo, mpaka na Waganga wa Jadi-hii yote ni inasababishwa na imani za kishirikina na ufisadi uliojengeka ndani ya MAGAMBA! shame on them!

Kweli kamanda ndugu zangu wajaluo kazi kukata viuno na kupiga domo tu. Ukiwanunua kwa Osogo Winyo baaasi.
 
Taarifa za ndani kutoka katika mtandao wa mbunge Lameck Airo wa jimbo la Rorya zinasema kuwa mbunge huyo ameanza kumwandaa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Rorya Ochelle Obuto ili arithi mikoba ya ubunge 2015.

My take: Ochelle ni mbumbumbu wa kutupwa na pia elimu yake mbovu. Ni mtu mmoja ana kiburi na majivuno ya pesa. Anaiendesha halmashauri kama NGO yake. Kawabana madiwani hawapumui. Anatetea wakuu wa Idara mafisadi ambao anakuwa na manufaa nao katika zabuni mbalimbali, mfano ni mhandisi Julius Kahena ambaye serikali ilimhamisha na kumshusha cheo kwasababu ya ufisadi, mwenyekiti anadaiwa kumtetea tamisemi ili abaki Rorya. Hadi sasa Kahena hajahama!. CCM ikimsimamisha Ochelle 2015 jimbo limekwenda na maji kwani jamaa ni hovyo kabisa.

Haiwezekani kabisa hili jimbo linastahili mtu mwenye elimu ya juu na chuo cha heshima kama 'OXFORD', kwani yule jamaa Mawina Owino vipi mbona si msikii huko Rorya.
 
Siasa za rorya ni za hovyo kabisa, mamafia rorya ndo wanasiasa wanautumia fedha chafu kujiimarisha. Ni hovyo hovyo tu.
 
Habari za wajaluo zinasema Tatizo ni hawa wafanyabiashara na hata kambi ya iliyokuwa ya Profesa Sarungi, wakisikia tu jina la huyo Maina Owino wote wanaungana na vikao vinakua ni kila siku ili jamaa asichukue UBUNGE sababu inasemekana yeye aliweka wazi ufujaji wa pesa ya umma ''STOP'', ma omera wanasema alidraft mkakati wa utekelezaji wa maendeleo ikaoneka itawazuia ULAJI. Hivyo uchaguzi wa 2000 na 2005 ilimwagwa pesa ya kufa mtu na sila nje nje kwa wapiga kura ili wasimchague Maina owino. Fununu zikawa usalama matatani akakimbilia London.....nasikia anajipanga upya sasa 2015 kupitia njia yoyote. na wajaluo wanamkubali. Moto tutauona.
 
Mkuu mbona CCM hatuwataki tena, haijarishi CCM watamsimamisha nani mbele mziki wa CHADEMA hakuna wa kufua dafu tena.

Waache hao mazezeta wa CCM wakamuane wenyewe

Dah! Watu hamuishi kujifariji. Haya, it is a matter of time.
 
Wasomi wa Rorya hawana kawaida ya kurudi nyumbani hawajulikani kwa wapiga kura wao,hivyo huwapa fursa hawa wafanya biashara MAFISADI kujizolea 'cheap popularity'. Inauma sana jimbo la Rorya awamu hii 2010-halina muwakilishi bungeni.
 
Kweli kabisa kwasasa jimbo la rorya ni kama mbungeless. Wakuu mwenye picha ya Maina Owino tafadhali tuanze kumgongea debe.
 
huyu jamaa kwanza ni tapeli, alafu amekuwa fugitive! hatutaki walowezi!
hajui matatizo ya wanaRorya usogelea jiko akiona kwon imekaribia!
kimsingi wanarorya wapenda maendeleo, wanapaswa kumwogopa huyu bwana!
inasemekana alinunuliwa na Sarungi akamwachia mamlaka baada ya kulamba mamilioni
ya shilingi toka kwa akina Igogo, Lakairo na wengine!
Maina Owino lazima aogopwe kama virusi vya ukimwi pale Jimboni! bora wanarorya waendelee kuwaachia wajinga hawa wageuze Bunge rest House yao kuliko kumpeleka huyo tapeli!

Habari za wajaluo zinasema Tatizo ni hawa wafanyabiashara na hata kambi ya iliyokuwa ya Profesa Sarungi, wakisikia tu jina la huyo Maina Owino wote wanaungana na vikao vinakua ni kila siku ili jamaa asichukue UBUNGE sababu inasemekana yeye aliweka wazi ufujaji wa pesa ya umma ''STOP'', ma omera wanasema alidraft mkakati wa utekelezaji wa maendeleo ikaoneka itawazuia ULAJI. Hivyo uchaguzi wa 2000 na 2005 ilimwagwa pesa ya kufa mtu na sila nje nje kwa wapiga kura ili wasimchague Maina owino. Fununu zikawa usalama matatani akakimbilia London.....nasikia anajipanga upya sasa 2015 kupitia njia yoyote. na wajaluo wanamkubali. Moto tutauona.
 
Hayo ni Madhara ya USHIRIKINA na Uchawi uliokithiri, na hamasa ya kuangamiza wasomi!
Inasemekana huko kwenu Rorya wenye mijicho miekundu inakaribia kufikia ile ya usukumani! teeeeeeeeeh!

Back
Top Bottom