MJENGA
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 884
- 848
Taarifa za ndani kutoka katika mtandao wa mbunge Lameck Airo wa jimbo la Rorya zinasema kuwa mbunge huyo ameanza kumwandaa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Rorya Ochelle Obuto ili arithi mikoba ya ubunge 2015.
My take: Ochelle ni mbumbumbu wa kutupwa na pia elimu yake mbovu. Ni mtu mmoja ana kiburi na majivuno ya pesa. Anaiendesha halmashauri kama NGO yake. Kawabana madiwani hawapumui. Anatetea wakuu wa Idara mafisadi ambao anakuwa na manufaa nao katika zabuni mbalimbali, mfano ni mhandisi Julius Kahena ambaye serikali ilimhamisha na kumshusha cheo kwasababu ya ufisadi, mwenyekiti anadaiwa kumtetea tamisemi ili abaki Rorya. Hadi sasa Kahena hajahama!. CCM ikimsimamisha Ochelle 2015 jimbo limekwenda na maji kwani jamaa ni hovyo kabisa.