CCM nunueni bendera

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Bendela hizi hapa chini zinatia aibu. Zimechanika na bado zimeng'ang'ania mitini:D
Copy of _Bendela edited.jpg
Moja ni bendela ya halmashauri ya wilaya ya Muleba mkoani Kagera.

Bendera CCM edit.jpg
Ya pili ni bendela ya sisi m. imekutwa kwa mwenyekiti wake wa tawi moja huko Bukoba. Kama bendela haziwezi kubadishwa na kuwekwa nzuri je maendeleo yanawezekana kutetewa na hawa wenyeviti wa mitaa? Nina mashaka.
 
Hizo bendera ni kielelezo halisi cha hali ya nchi ilivyochoka. Mitaro, barabara, majengo, mashule, mahospitali nk yanafananafanana na hizo bendera. By the way msikonde next year zitabadilishwa .. huwa zinabalilishwa wakati wa general elections.
 
Hizo labda ni za Wachovu Chadema

Haaaaaaaaa!!!!!!!!!!. Chadema si hizi inatumia bendera za ccm? Usijitetee. CCM yenyewe imechakaa vya kutosha ndo maana hata bendera zao zimechakaa. Nawashauri wazipeleke kwa fundi cheraani wakaziwekee virakamaana hawatakuwa na pesa za kununua mpya. mianya mingi waliokuwa wanaitumia imejulikana, hivyo wakitu mia pesa walizo nazo vibaya kwa kununulia bendera, wataoksa pesa za kuonga wapigakura.
 
Rafiki yangu MF,
Poleni sana Chadema kwa kuangukia pua kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Mpira ni Magoli, sio chenga na mbwebwe.
 
Back
Top Bottom